kunahaja sasa kwa wapenzi kuwa na uhusiano wa wazi maana yake kila mtu awe free kuwa na mtu mwengine ila awe na nidham kwa mwenzi wake wa kudum akihitajika basi awajibike ipasavyo nadhani itapunguza ukali wa wivu wa kijinga katika mahusiano kwa asilimia 70 je unafikiri itasaidia?
Habarini wanaJF. Nimeshangaa kuona kwenye FB wabongo wengi wanaweka kwamba wako kwenye open relationship na wanaiona ni hype au fashion flani. Hata kuna wengine eti wanapewa hongera/ likes moving from relationship to open relationship...
Je, open relationship ina maana gani au ni mimi nimekuwa nikielewa maana tofauti....
Nawasilisha.
VoS aksante, je hizi relationship zinakuwa kwenye ngazi ya Uboyfriend na ugalfriend tu yaani sio hata kkwenye ndoa halali?Sababu ya wivu mara nyingi huwa zinaishia kwenye ugomvi..
Open relationships:- Uhusiano ambao partners wanakubaliana kudate/sleep na watu wengine..
Wenzetu hata kwenye ndoa halali wanakaribisha partners wengine (hawa wanaitwa swingers) badala ya kucheat nyuma ya mgongo wa mwenzako yaani wanaalikana wote na kuendelea na shughuli.., tena hawa jamaa huwa wana parties kabisa ambapo couples wote (yaani swingers) wanabadilishana partners na kuendeleza orgies... (yes I know ni kweli yataka moyo)..VoS aksante, je hizi relationship zinakuwa kwenye ngazi ya Uboyfriend na ugalfriend tu yaani sio hata kkwenye ndoa halali?
MWe!! Aksante MUNGU kwa kunileta zamani!
Ashadii,
Umewahi kujaribu kuwa kwenye aina hii ya relationship?