Open Relationship ni poa!!!.....Au?

Quemu

JF-Expert Member
Jun 27, 2007
984
127
Katika karne ya leo, wapendao kukubaliana “kusafisha macho” nje wakati bado wako pamoja ni jambo ambalo sio geni kabisa katika nchi za dunia ya kwanza. Hawa wenzetu huwa wanaruhusiana kwenda kwenye dates na watu wengine. Aina za dates ziruhusiwazo katika open relationship zina vary…..

Baadhi ya wapenzi ukubaliana kila mmoja ni ruhusa kwenda kwenye dinner dates na watu wengine (mfano Will Smith na Jada Pinkett-Smith). Na ni dinner tu…..zaidi ya hapo hairuhusiwi. Wengine wanafungua wigo wao na kuruhusu mpaka kwenda kufanya mambo ya kikubwa na watu wengine.

Je mnasemaje kuhusu open relationship?
 
...pole pole tu QM, ikifika mwaka 2046 haya mambo yatakuwa yameenea Africa kote pia kutokana na utandawazi unaozidi kuendelea kila kona ya dunia.
 
Lakini ukiangalia hata nyumbani tuna practice haya mambo. Isipokuwa tunafanya tofauti kidogo. Huku wenzetu wanakubaliana, sisi kule tunafanya kisirisiri.... yaani kila upande unajikamatia vidates vya hapa na pale...mwendo mdundo....mpaka siku ya kufumaniana!!!!
 
Katika karne ya leo, wapendao kukubaliana “kusafisha macho” nje wakati bado wako pamoja ni jambo ambalo sio geni kabisa katika nchi za dunia ya kwanza. Hawa wenzetu huwa wanaruhusiana kwenda kwenye dates na watu wengine. Aina za dates ziruhusiwazo katika open relationship zina vary…..

Baadhi ya wapenzi ukubaliana kila mmoja ni ruhusa kwenda kwenye dinner dates na watu wengine (mfano Will Smith na Jada Pinkett-Smith). Na ni dinner tu…..zaidi ya hapo hairuhusiwi. Wengine wanafungua wigo wao na kuruhusu mpaka kwenda kufanya mambo ya kikubwa na watu wengine.

Je mnasemaje kuhusu open relationship?

POA!

Lakini ukiangalia hata nyumbani tuna practice haya mambo. Isipokuwa tunafanya tofauti kidogo. Huku wenzetu wanakubaliana, sisi kule tunafanya kisirisiri.... yaani kila upande unajikamatia vidates vya hapa na pale...mwendo mdundo....mpaka siku ya kufumaniana!!!!

Not cool!

.
 
hapa bongo ipo kwa wale waathirika wa vvu na nshawahi kuona men anarudi saa nane na mkewe saa kumi
kwa wale waiopo arusha -njiro kontena wanaweza kuwatambua watu hawa yani no stresss ful kukamua na hakuna anaelalamika
 
Ya Ngoswe mwachie Ngoswe, hao wazungu waache na hayo mambo yao ya kizungu. Sisi huku hatuyawezi.
 
hapa bongo ipo kwa wale waathirika wa vvu na nshawahi kuona men anarudi saa nane na mkewe saa kumi
kwa wale waiopo arusha -njiro kontena wanaweza kuwatambua watu hawa yani no stresss ful kukamua na hakuna anaelalamika
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom