Open letter to all the men I loved before

Dada usiache wapenz wako kwa fujo,hata huyo uliyenaye anaweza kukumwaga any time,au wale wako wa zamani wanaweza kumkamatisha kasister du kamoja wewe ukaandika maumivu.ila na wewe utakuwa kicheche hujatulia.
 
sasaimekuwaje tena maana uliwaaga kwa mbwembwe kweli kweli na jamaa keshakuwa 0 hata mwaka bado
 
kilaptop kimekuharibia mume jamani pole
sasa wale wa zamani watafute tena
 




Hongera kwa kuvunja mtandao!!!!!!Utulizane sasa
 
nimecheka sanaaaaaa
 

itafahamika tu.....
Huna haja ya kutukana mamba wakati hujavuka mto,
mwombe mungu akusaidie ufunge ndoa kama bado,
otherwise, uchumba na mapenzi vyote vina expire date.
 
Karibu temeke,ambapo mambo yote yanawezekana na huyo wako shatashata, utamsahau na kwa mara nyingine utatupa waraka namba mbili,dunia ni horison
 

kwa hiyo wapo humuu!!???
The retired *x*x*x*x*
 
ndo waraka huu,WASTARA HAZUMBUKI WA MBILI HAVAI MOJA,ungetulizana tu na huyo mpya coz sooner o later ni mhanga
 
Umeshatolewa bikra ya upande wa nyuma/oGiT sio bureee...wewe sasa unakuja hapa ili tukupe faraja kuwa jamaaanakupenda kumbe ndo kesha-kuharibu kitamboooo sana@ subiri muda sio mrefu utaanza kuvaa PADS huko kunako O, na ikifikia hivyo njoo tena hapa jukwaani utuleteee huu ***** wako!

 

Mpaka hapo nimeshakudharau, sentensi hizo zinaonyesha namna unavyo jichukulia kama chombo cha starehe.That is not right! mwanamke ni zaidi ya hivyo vitu ulivyo vitaja
 
Mpaka hapo nimeshakudharau, sentensi hizo zinaonyesha namna unavyo jichukulia kama chombo cha starehe.That is not right! mwanamke ni zaidi ya hivyo vitu ulivyo vitaja
kuna haja ya kuweka fomula ya kutafuta IQ ya mtu ili kabla ya kuleta uzi aweke amepata ngapi. Msamehe bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…