OOPS! Hamas rocket takes out power station in Gaza, Israel not fixing it

OOPS! Hamas rocket takes out power station in Gaza, Israel not fixing it

Status
Not open for further replies.

Ishmael

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
15,039
Reaction score
6,018
[h=2]Hi, Hamas. Israel would love to help you with your little electrical problem but we won’t be able to repair it today, tomorrow doesn’t look good either. You see, we’re kind of busy fighting a war right now. Call us when you run out of rockets and we’ll do lunch.[/h]
hamas-gaza-rocket-launch.jpg

[h=4]INN Prime Minister Binyamin Netanyahu has asked the IEC not to risk the lives of its employees in trying to restore power. The Palestinian Authority currently owes the Israel Electric Company NIS 1.5 billion ($525 million) in unpaid bills for electricity. [/h][h=4]Last month, the IEC filed a petition with the High Court demanding to be allowed to shut off electricity to the Palestinian Authority until the debt was paid – or to allow the IEC to seize customs and aid payments collected on behalf of the PA to pay off its debt. That case is still pending.[/h]
4805420131216050448054.jpg

[h=4]Seventy thousand Gazans from Khan Younis and Deir el-Balah were in the dark Sunday night after a Hamas rocket hit the power line that supplies electricity to those places. It’s not clear when Israel Electric Company workers will be able to repair the system, but they are apparently in no rush to do so. Prime Minister Binyamin Netanyahu has asked the IEC not to risk the lives of its employees in trying to restore power to the affected sector in Gaza, an operation that could take hours.[/h]
 
Hivi hawa binadamu wana akili gani?

Hawana hata uwezo wa kuwa na vinu vya kufua umeme halafu wanapiga kelele...!!!!!!!!
 
Hivi hawa binadamu wana akili gani?

Hawana hata uwezo wa kuwa na vinu vya kufua umeme halafu wanapiga kelele...!!!!!!!!

Wewe na watanzania wenzako mnapokosa umeme kwa ajili ya kukosekana mvua au kwa kuwa na mvua nyingi huwa mnaakili ya namna gani?

Au umeamua kuropoka tu kwa sababu mdomo mali yako.
 
Hivi hawa binadamu wana akili gani?

Hawana hata uwezo wa kuwa na vinu vya kufua umeme halafu wanapiga kelele...!!!!!!!!
Hawa majamaa ni mabingwa wa kuharibu na sio kuetengeneza.

ONA PICHA HII
Hii ni Syria before and after.
syria.jpg
 
Kazi ya HAMAS
Before and After picture of the Hamas Parliament Building.

hamas+parliament+before+and+after.jpg
 
From earlier today. IAF airstrikes on terror targets in Gaza.

Last edited by a moderator:
Wewe na watanzania wenzako mnapokosa umeme kwa ajili ya kukosekana mvua au kwa kuwa na mvua nyingi huwa mnaakili ya namna gani?

Au umeamua kuropoka tu kwa sababu mdomo mali yako.
Tazama huyu nae

Umeisoma mada au lugha imekuchenga?

Mada inasema kuwa Hamas ndio walio attack kinu cha umeme wewe unakuja na kutoa mfano wa mvua,sijui kuna mahusiano gani kati ya mabalaa yanayoweza kusababishwa na natural yale ya kujitakia

Mvua kubwa inasababishwa na watu kama uharibifu huo hapo kwenye mada ulivyosababishwa na watu tena huo umeme unaopatikana hapo unawahudumua wao wenyewe

Watakaposhindwa kufanya upasuaji kwa wagonjwa mahospitalini mwao kwa kukosa umeme sijui wamlaum nani

Hivi vichwa vingine ni hatari tupu!
 
Hawa watu sijui ubongo wao umekwenda likizo?

Wewe ni akili kuambiwa.
Mnapewa habari za kijinga na nyie mnabeba km zilivyo!

Tumieni vichwa japo kidogo kufikiri!
Eti mtu abomoe jumba lake mwenyewe!
We kweli unaifanyisha kazi bongo yako?
 
Wewe ni akili kuambiwa.
Mnapewa habari za kijinga na nyie mnabeba km zilivyo!

Tumieni vichwa japo kidogo kufikiri!
Eti mtu abomoe jumba lake mwenyewe!
We kweli unaifanyisha kazi bongo yako?

Hujui husemalo wewe.

10410422_10152356631946144_8015271452754021443_n.jpg
 
Yaani huwa sielewi mswahili wa Tanzania anapokuwa na upande katika vita hii ati sababu ye muislamu au mkristo!!!!!
 
Hujui husemalo wewe.

10410422_10152356631946144_8015271452754021443_n.jpg

We siku zote hujidanganya kuwa ati na wewe ni myabudi na kutuwekea hivo vipicha vya katuni ukasahau kuwa ni hawa hawa waliomsulubu yesu msalabani na kumchoma mkuki wa tumboni.
Ama kweli ujinga ni mzigo
 
Wewe ni akili kuambiwa.
Mnapewa habari za kijinga na nyie mnabeba km zilivyo!

Tumieni vichwa japo kidogo kufikiri!
Eti mtu abomoe jumba lake mwenyewe!
We kweli unaifanyisha kazi bongo yako?

Wewe ndio sio akili kuambiwa?

Nipe utafiti hata mmoja tu ulioufanya!
 
We siku zote hujidanganya kuwa ati na wewe ni myabudi na kutuwekea hivo vipicha vya katuni ukasahau kuwa ni hawa hawa waliomsulubu yesu msalabani na kumchoma mkuki wa tumboni.
Ama kweli ujinga ni mzigo

So what?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom