McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
Huyo dogo hafai kabisa.
uzuri tunapiga tuu ini wani noma haipoAyaaa chakike hichooo
Huyo mzee ndio asiyefaa. Mara nyingi choo cha kushoto ni cha kike!
Mahasimu wa Museveni wamepangiwa wapi. au ndio wanakubali kiaina kuwa jinsia ni mbili tu?
alafu huyo jamaa ambavyo huwa anaingiaga kwa mbwembwe simpatii picha huko.
hahaha. ndio wale wanaingiaga dushe mkononi!
Safari_ni Safari hicho kivazi cha picha ya tatu kinahusu gender gani?
Safari_ni Safari hicho kivazi cha picha ya tatu kinahusu gender gani?