oooh my god...

Kuna wengine wananenepa upande mmoja,ukiwaona kama gari iliyokata senta boliti
kaaazi kwelkweli,pole mrembo ndio mchina huyo
 
Pengine kawa tortured huyu mama - sababu kuna binaadamu umbile tu ndani kitukingine
 
what if hiyo picha ni ya maiti??

maiti zinaoza as well
 
Wanaume wao hawadai makalio makubwa. Wanaume wa kiswahili mnawaharibu wanawake wasio na zaidi ya miili yao kama mtaji. Kila ukipita unaskia demu mzuri, mweupe na kajazia. Sasa weusi, hawepigwa pasi na hawana hata elimu ama hela za kudraw attention wafanyaje?

Haha ila umenifurahisha aisee. Wachina wanapigwa pasi kama ya makusudi jamani, nikimuona natamani nione akiwa naked hehehe
Hivi mbona wachina wenyewe wana vikalio vidogoo kama ufuta lakini ndo wa kwanza kutuletea madawa ya kukuza hizo nundu za kukalia.
Wao hawataki makalio makubwa?
 
Miaka 17 mfululizo? Ina maana alikuwa bedridden (kujisaidia hapo hapo)? Laa kitandani miezi 2 tu ndo utagundua mwili ni jumba bovu aisee. Naongelea uzoefu
AAAAH MKUU....sina utaalamu huo ila bibi yangu aliugua kwa miaka 17 na alikuwa ana lalia kitanda cha kamba mbona akuoza wowowooo..siku bishi ila nataka kujua
 
Mmmhh bora kujikubali mola alivyokuumbaa matesoo hayoo
 
what if hiyo picha ni ya maiti??

maiti zinaoza as well
Mkuu TIMING ... huo ni ugonjwa unaoitwa Bedsores — au kwa jina lingine ni pressure sores au pressure ulcers

Bedsores — also called pressure sores or pressure ulcers — are injuries to skin and underlying tissues that result from prolonged pressure on the skin. Bedsores most often develop on skin that covers bony areas of the body, such as the heel, ankles, hips or buttocks.

People most at risk of bedsores are those with a medical condition that limits their ability to change positions, requires them to use a wheelchair or confines them to a bed for prolonged periods.

Bedsores can develop quickly and are often difficult to treat. Several care strategies can help prevent some bedsores and promote healing.

Ninashindwa kupost picha hapa as zinasikitisha ila fuatilia hiyo link
Link Picha: https://www.google.co.tz/search?q=Bed+sores&espv=210&es_sm=122&source=lnms&tbm=isch&sa=X&ei=zavSUqr7L-iS7Qa8jIHADA&ved=0CAkQ_AUoAQ&biw=1280&bih=894
 

i know about bedsores, all i asked is, what if hiyo picha ni ya maiti??

kumbuka mleta mada ameongelea mchina,

bed sores, hata some people with serious tegu, baadhi ya kansa na artificial organs/insertions huwa wanapata hizo shida

bedsores ni one of possibilities
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…