hahaha mi nimeuliza tu lol
saaaawa sijakataa mpenzi!
pole kwa kumzoeeeea hivyo yan mwenzako mimi nilizani utani kuuuumbe kweeli mmefika hii stage?
sasa lile duvet utajifunika peke yaaaako kweli?au ushazoea upweke tayar?maaana nawe mpenzi kwa kuzoea kitu haraaaaka!sikuwezi
hahahaha atleast nimecheka kidogo,sawa dokta,tango na nini?!.
Unanchonganisha...unaongea kama unaijua shughuli nyingne
we mkorofi!!
hahahahaha uwe specific
mmh sawa dokta,ntajitahdi
si umeingilia majukumu ya dokta!!,embu njoo ukanisaidie kununua matango,sasa hata hajaniambia yawe na ukubwa gani na unene pia!!.au we unajua?
Na nn sasa?
tafuta chepuko fasta...au wewe ni wale wa mahaba nipoteze?
si umeingilia majukumu ya dokta!!,embu njoo ukanisaidie kununua matango,sasa hata hajaniambia yawe na ukubwa gani na unene pia!!.au we unajua?