Mpunilevel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 3,140
- 1,871
Ashukuru Mungu alikubali kumkata Membe, hii ndio ilikuwa pumzi ya mwisho kama angekataa, ashukuru sana wale timu Lowasa walioshinikiza Membe akatwe. CCM ilishakuwa inapumulia mashine eti.
tell demsikudanganye mtu ccm hata leo ikimsimamisha mtu yeyote hata awe kichaa itashinda uchaguzi maana tume ya uchaguzi ni yao kwahiyo wapinzani msitegemee kushinda bila kuwa na tume huru ya uchaguzi
Ndo maana Nampa Tano kwa kucheza karata kisawasawa bila chama kumfia mikononiAshukuru Mungu alikubali kumkata Membe, hii ndio ilikuwa pumzi ya mwisho kama angekataa, ashukuru sana wale timu Lowasa walioshinikiza Membe akatwe. CCM ilishakuwa inapumulia mashine eti.
Hakika umenena ukweli mtupuKosa kubwa zaidi kwny uwanja wa Mapambano ni kudharau Uwezo wa Adui. Maadui zake kisiasa walijihadaa wakapuuza weledi,ujanja na uzoefu wake Kwny Siasa kwa kuwa tu aliitwa dhaifu.
Yeye hakuwa akipuuza nguvu ya Adui hata kidogo.
Kuna Mgombea alisema Hakuna Mwenye Ubavu wala uwezo wa kumkata kwny ngazi ya Chama kwa kuwa tu alikuwa na Mamluki wake wanne.
Umaarufu wa JK ndani ya Chama umeongezeka sana ukilinganisha na Siku alipofanya Maamuzi magumu July 11 2015 Mjini Dodoma ya kunusuru Mapinduzi ya Genge la Wahuni
Hahaha! Sasa kinarudi kwenye misingi yake, sahau kufa, labda MADECHA, na wasiwasi.Ila kuna mtu itamfia
Mpaka sasa huoni RAIS anachofanya?Mkuu muda wa kampeni umeisha kwa sasa watz tunasubiria ahadi zilitolewa kwenye kampeni zinatekelezwa
Mpaka sasa huoni RAIS anachofanya?
Haya wa vijiweniNdiyo maana nimekuambia muda wa kampeni umeisha