Ooh!, CCM kufia mikononi mwa Jakaya Kikwete

Mpunilevel

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
3,142
2,000
Nakumbuka wakati wa mchakato wa nafasi ya kumpata mgombea URAIS kupitia CCM, makundi hasimu yalisigana kiasi wadau kufikia hatua ya kusema kwamba chama kinafia mikononi mwa Jakaya Kikwete.

Naweza Sema Jakaya Kikwete ni mtu alieiva kisiasa, kwani aliweza kuongoza mchakato kwa umakini wa hali ya juu sana akishirikiana na sekretarieti yake na hatimaye kupata mpeperushaji bendera huku chama kikiwa imara licha ya zengwe na hujuma nyingi dhidi yake.

Sasa naamini Magufuli anakabidhiwa uenyekiti na list ya wasaliti ndani ya chama ili asafishe uozo wote, ikizingatiwa Magufuli hua alembi , ili chama kirudi kwenye misingi yake.

Hakika Kikwete umeiva kisiasa, jamaa hawana hamu na wewe. Kwisha habari Yao, chama umekiacha salama salmin, hongera sana.
Mwisho, Swali:je? CCM Imemfia Jakaya Kikwete.
 
mwasu

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
10,189
2,000
Ashukuru Mungu alikubali kumkata Membe, hii ndio ilikuwa pumzi ya mwisho kama angekataa, ashukuru sana wale timu Lowasa walioshinikiza Membe akatwe. CCM ilishakuwa inapumulia mashine eti.
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
24,077
2,000
Kosa kubwa zaidi kwny uwanja wa Mapambano ni kudharau Uwezo wa Adui. Maadui zake kisiasa walijihadaa wakapuuza weledi,ujanja na uzoefu wake Kwny Siasa kwa kuwa tu aliitwa dhaifu.

Yeye hakuwa akipuuza nguvu ya Adui hata kidogo.

Kuna Mgombea alisema Hakuna Mwenye Ubavu wala uwezo wa kumkata kwny ngazi ya Chama kwa kuwa tu alikuwa na Mamluki wake wanne.

Umaarufu wa JK ndani ya Chama umeongezeka sana ukilinganisha na Siku alipofanya Maamuzi magumu July 11 2015 Mjini Dodoma ya kunusuru Mapinduzi ya Genge la Wahuni
 
Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
12,130
2,000
Ule ni ujasiri sana alipokubali kumkata mrithi wake aliomuandaa!! Ama sivyo pasingetosha! Hata wazee wangekinzana wazi wazi
Ashukuru Mungu alikubali kumkata Membe, hii ndio ilikuwa pumzi ya mwisho kama angekataa, ashukuru sana wale timu Lowasa walioshinikiza Membe akatwe. CCM ilishakuwa inapumulia mashine eti.
 
MR MAJANGA

JF-Expert Member
Oct 4, 2014
2,343
2,000
Mkuu muda wa kampeni umeisha kwa sasa watz tunasubiria ahadi zilitolewa kwenye kampeni zinatekelezwa
 
simanyane

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
2,246
1,500
sikudanganye mtu ccm hata leo ikimsimamisha mtu yeyote hata awe kichaa itashinda uchaguzi maana tume ya uchaguzi ni yao kwahiyo wapinzani msitegemee kushinda bila kuwa na tume huru ya uchaguzi
 
Chiwaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
5,571
2,000
sikudanganye mtu ccm hata leo ikimsimamisha mtu yeyote hata awe kichaa itashinda uchaguzi maana tume ya uchaguzi ni yao kwahiyo wapinzani msitegemee kushinda bila kuwa na tume huru ya uchaguzi
tell dem
 
Mpunilevel

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
3,142
2,000
Ashukuru Mungu alikubali kumkata Membe, hii ndio ilikuwa pumzi ya mwisho kama angekataa, ashukuru sana wale timu Lowasa walioshinikiza Membe akatwe. CCM ilishakuwa inapumulia mashine eti.
Ndo maana Nampa Tano kwa kucheza karata kisawasawa bila chama kumfia mikononi
 
Mpunilevel

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
3,142
2,000
Kosa kubwa zaidi kwny uwanja wa Mapambano ni kudharau Uwezo wa Adui. Maadui zake kisiasa walijihadaa wakapuuza weledi,ujanja na uzoefu wake Kwny Siasa kwa kuwa tu aliitwa dhaifu.
Yeye hakuwa akipuuza nguvu ya Adui hata kidogo.
Kuna Mgombea alisema Hakuna Mwenye Ubavu wala uwezo wa kumkata kwny ngazi ya Chama kwa kuwa tu alikuwa na Mamluki wake wanne.
Umaarufu wa JK ndani ya Chama umeongezeka sana ukilinganisha na Siku alipofanya Maamuzi magumu July 11 2015 Mjini Dodoma ya kunusuru Mapinduzi ya Genge la Wahuni
Hakika umenena ukweli mtupu
 
Mutakyamirwa

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
4,944
1,500
Hata hivyo ilimfia mikononi. Unajua ingewagharimu kiasi gani kupokonya madaraka mikononi mwa ccm...

Kama hukuweza kutambua jk alichokuwa amekusudia wakati huo basi we si mtanzania
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom