Ooh!, CCM kufia mikononi mwa Jakaya Kikwete

Nakumbuka wakati wa mchakato wa nafasi ya kumpata mgombea URAIS kupitia CCM, makundi hasimu yalisigana kiasi wadau kufikia hatua ya kusema kwamba chama kinafia mikononi mwa Jakaya Kikwete.

Naweza Sema Jakaya Kikwete ni mtu alieiva kisiasa, kwani aliweza kuongoza mchakato kwa umakini wa hali ya juu sana akishirikiana na sekretarieti yake na hatimaye kupata mpeperushaji bendera huku chama kikiwa imara licha ya zengwe na hujuma nyingi dhidi yake.

Sasa naamini Magufuli anakabidhiwa uenyekiti na list ya wasaliti ndani ya chama ili asafishe uozo wote, ikizingatiwa Magufuli hua alembi , ili chama kirudi kwenye misingi yake.

Hakika Kikwete umeiva kisiasa, jamaa hawana hamu na wewe. Kwisha habari Yao, chama umekiacha salama salmin, hongera sana.
Mwisho, Swali:je? CCM Imemfia Jakaya Kikwete.
Sasa hivi watu wanaogopa kikwete kun'gatuka,
 
Alitumia akili ya ziada ya KUIBA KURA otherwise chama kingemfia hicho
 
Hata hivyo ilimfia mikononi. Unajua ingewagharimu kiasi gani kupokonya madaraka mikononi mwa ccm...

Kama hukuweza kutambua jk alichokuwa amekusudia wakati huo basi we si mtanzania
Elewa swali chama kimemfia au la!
 
Kosa kubwa zaidi kwny uwanja wa Mapambano ni kudharau Uwezo wa Adui. Maadui zake kisiasa walijihadaa wakapuuza weledi,ujanja na uzoefu wake Kwny Siasa kwa kuwa tu aliitwa dhaifu.

Yeye hakuwa akipuuza nguvu ya Adui hata kidogo.

Kuna Mgombea alisema Hakuna Mwenye Ubavu wala uwezo wa kumkata kwny ngazi ya Chama kwa kuwa tu alikuwa na Mamluki wake wanne.

Umaarufu wa JK ndani ya Chama umeongezeka sana ukilinganisha na Siku alipofanya Maamuzi magumu July 11 2015 Mjini Dodoma ya kunusuru Mapinduzi ya Genge la Wahuni
Master nimependa utenzi wako, big up!
 
Kama sio usalama wa taifa na jeshi la polisi pamoja na tume ya uchaguzi basi ccm leo ingelikuwa stori tu. Lakini wanategemea hao niliowataja hawana kuwiva wala nini.
 
Kiukweli jk alikuwa katika wakati mgumu sana maana upande wake na membe walitaka membe apeperushe bendera, lakini upande wa mzee lowassa ulitaka lowassa apeperushe bendera, baada ya kumkata tu lowassa mambo ndo akayaharibu mapema lakini neema ikazidi kusogea kwa jpm, mwisho membe akakumbwa na kizaazaa ndipo nafasi ya jpm ikajidhihirisha wazi maana kwa hali ya chama kilivyokuwa wasingekwepa kumteua jpm,
Hapo ndipo akili na weledi wa jk ulionekana vinginevyo ccm hakukuwa na mgombea wa maana isipokuwa JPM,
Upande mwingine mzee lowassa hakukata tamaa akarukia plan B na kugeuka kuwa hasimu mkubwa wa ccm na jk.... Loooh!! Amazing
Ccm ni chama kikubwa, kama kilishindwa kufa 2015 never expect again.
 
Kama sio usalama wa taifa na jeshi la polisi pamoja na tume ya uchaguzi basi ccm leo ingelikuwa stori tu. Lakini wanategemea hao niliowataja hawana kuwiva wala nini.
Jibu swali, kimemfia?, Sema ndio au hapana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom