Onyo; zoomtanzania jirekebishe

A%20S%20465.gif
its a bomb any time can explode!!!!! hahahahahhahahahah
 
Na wewe umeamua kuja kutoonyesha tena tena hz CV ambazo hautaki zionekane.
Kwani vigezo na masharti ya kutuma CV huko Zoom vinasemaje kama watazitoa public au? Sio kulalamitka tu, Af kazi utapataje bila mtu kuiona hy CV?

Wewe kweli ni namna gani? unaangalia mkia wa paka halafu unauliza tundu yake ya kunyea iko wapi? Term and condition zao zimewekwa hapo juu na bado unauliza vigezo na masharti yao? au mwenzetu english inakupiga chenga sana?
Hili suali lako la mwisho hata sijui nikuelewe vipi, kwanza zoom wanasema hawatatowa jina, anuani na number za simu za wanaopeleka cv zao kwao bila ya ruhusa ya mhusika, sasa leo mtu yeyote duniani sio tu anaona cv bali pia majina, anuani na number za simu za kila alopeleka cv yake zoom, jee hapo huoni tatizo au hata kiswahili kinakushinda? sio tu kwa sababu mtu anatafuta kazi basi ndio tena agency wamuanikie cv yake kila mahali. Zoom washukuru tu kuwa wanafanya makosa ya kuweka details za watu mtandaoni wakiwa tanzania, lakini wangelikuwa nchi nyengine nyingi tu wangelijikuta wanafikishwa mahakamani. Personal details ni makosa kuzitowa bila ya idhini ya mhusika katika nchi nyingi duniani.
 
Sasa cv zikionekana si ndo vizuri, maana hata kama mwajiri anatafuta mtu anapitia cv hapo zoom tu,,

Yaan unatafuta kazi huku unachukia cv yako kuonekana na kusomwa, kwanza ni faraja kwa cv yako kusomwa na wat as ni next step katika safari ya kupata ajira

Hivi umesoma post kwa ufahamu kabla ya kutuma maoni yako? CV sio kuwa zinaonekana moja kwa moja kwenye website ya zoom ambako wanaotafuta kazi wamezituma. Hizi cv zinaonekana kwa kugoogle tu na unapata mtiririko wa cv. Sasa wenyewe zoom wanasema kuwa hawatatowa jina lako, anuani yako au number ya simu bila ya ruhusa ya mhusika, hapo ndio penye tatizo ukigonga cv yeyote ile zilizowekwa online unaona details zote ambazo zoom wamesema watazi protect!
Mimi na wewe kwa mfano sote hatutafuti kuajiri watu lakini tunaziona cv za watu what is the point? Narudia tena kuna kitu kinaitwa personal details ambacho daima hubaki personal na mtu haruhusiwi kukiweka wazi au kumpa mtu mwengine bila ya idhini ya mhusika.
 
yap hii kitu sio sawa kivilee, siku moja nimejikuta nadownload cv y mtu flani mzito tu chuo nlichokuwa nasoma tht tym,.
 
Binafsi nimejaribu ku-search CV yangu sijaiona...! Hata hivyo nazani tunatakiwa kutofautisha mambo mawili hapa! Kuna wale ambao wanatuma application kupitia zoom (ambao huwa wanaandika "use email link above, ingawaje kimsingi siipendi hii kitu) na wale wanao-post CV zao zoom! Jukwaa la ku-post CV ni jukwaa la Job Seekers kujiuza kwa employer! I never use this option, sio kwa zoom tu, bali kwenye mtandao mwingine wowote ule (in short, service kama hii ipo kwenye site nyingi tu). So, inapotokea employer ana vacant post (hiyo ndo the idea behind) basi yeye anaenda moja kwa moja na ku-browse available CVs online badala ya kuanza kutoa matangazo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom