Onyo; zoomtanzania jirekebishe

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,270
675
Wanajamvi na kwa wale watafutao kazi kupitia ZoomTanzaia

Leo katika searching yangu ya kampuni fulani kwa kutumia google
nimekutana na CV ya mtu fulani ya mtu ambaye namfahamu.

Sasa nikahisi nimekosea then nikasearch hivi "zoomtanzania cv doc" zikaja cv za watu wote
waliowai kuapply kupitia ZOOMTANZANIA.

SWALI:

1. Kwanini Zoom Tanzania wanadisplay CV za watu?
2.Kwanini zoomTanznia hawaprotect cv/personal information za watu?


Matumizi mabaya ya CV zinazopatikana ZoomTAnzania
Watu wanaweza kutumia nafasi hii kuwatafuta watu mfano angalia hapo chini majina ya watu na cv zao






[h=2]PRIVACY POLICY OF ZOOMTANZANIA.COM[/h]ZoomTanzania.com is committed to protecting its users' privacy.

We do not give, sell or disclose information about your individual visits or personal information that you may give us such as your name, address, email address or telephone number, to anyone outside ZoomTanzania.com for any reason whatsoever EXCEPT when ZoomTanzania.com has the user's permission or under special circumstances, such as when ZoomTanzania.com believes in good faith that the law requires it or as permitted in terms of this policy.

For protecting the personal information submitted to us, we ensure that our standards are fully in line and compatible with the generally accepted industry standards.

All the data on the Website is stored on a secure server in Arlington VA, USA. Nevertheless it is also admitted that no method of transmission over the Internet, or electronic storage methods are completely secure.
 
Na wewe umeamua kuja kutoonyesha tena tena hz CV ambazo hautaki zionekane.
Kwani vigezo na masharti ya kutuma CV huko Zoom vinasemaje kama watazitoa public au? Sio kulalamitka tu, Af kazi utapataje bila mtu kuiona hy CV?
 
Sasa cv zikionekana si ndo vizuri, maana hata kama mwajiri anatafuta mtu anapitia cv hapo zoom tu,,

Yaan unatafuta kazi huku unachukia cv yako kuonekana na kusomwa, kwanza ni faraja kwa cv yako kusomwa na wat as ni next step katika safari ya kupata ajira
 
Hivi vikampuni vya kitapeli vitatufikisha kubaya, kazi kweli kweli
 
Sasa cv zikionekana si ndo vizuri, maana hata kama mwajiri anatafuta mtu anapitia cv hapo zoom tu,,

Yaan unatafuta kazi huku unachukia cv yako kuonekana na kusomwa, kwanza ni faraja kwa cv yako kusomwa na wat as ni next step katika safari ya kupata ajira


Samahani inawezekana uelewa wako ukawa mdogo
Ukituma CV yako kwenye kampuni fulani haitakiwi kuwa PUBLIC

Mimi kama mtu wa kawaida sitakiwi kuona CV ya mtu mwingine
ambayo imetumwa Zoom TAnzania
 
Niliwashitukia wanatafutia watu kazi Chevron using unknown email address. The way these big corporations work, do they need a gmail account to look for employees?
 
Hii site iko very poor. Not user friendly, Its a professional misconduct to display clients CV's. Ningekuwa mimi ningewashitaki mahakamani.
 
Zoom ina icon inaitwa `post cv for free` halafu nyingine inaitwa browse cv, humo kuna cvs na matangazo ya kuomba kazi kama yale ya kwenye magazeti. Sidhani kama wanazodisplay ni zile zinazotumwa kwenye tangazo la kazi unapoapply. Sitetei zoom ila watafuta kazi nao wawe makini, unapost cv yako kwenye website ili iweje!
 
Jamani CV kuonekana ni kujitangaza na employer yeyote atakutafuta kama ni nzuri ili mkajadiliane!!! Tufahamu ukishapeleka VC katika mitandao ya kazi jua wanaisambaza kwa kuwa ni sehemu pia ya kazi yao na ukipata kazi ndiyo malipo yao. Otherwise kama unataka privacy subiri kazi za magazetini!!! Labour market is flooded na kila mtu anatamani aweke CV kwenye magazeti ili apate kazi.
 
ni mbaya sana, CV ni mali ya mtu binafsi si vizuri kuianika bila ruhusa yake.......
 
Jamani CV kuonekana ni kujitangaza na employer yeyote atakutafuta kama ni nzuri ili mkajadiliane!!! Tufahamu ukishapeleka VC katika mitandao ya kazi jua wanaisambaza kwa kuwa ni sehemu pia ya kazi yao na ukipata kazi ndiyo malipo yao. Otherwise kama unataka privacy subiri kazi za magazetini!!! Labour market is flooded na kila mtu anatamani aweke CV kwenye magazeti ili apate kazi.

Kama wakati unaweka CV walishakwambia kwamba itakuwa inaonekana ukakubali hizo terms ni sawa lakini kama uliwapa ZOOM ukaikuta ipo ipo tu kwa kila mtu kuiona aisee hapo inabidi wajiunge wote ambao CV zao zipo hapo waishitaki.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom