sindano butu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2012
- 524
- 183
Betway wamekufanyaje tena?Tapeli zaidi ya pAri match dont even use that company . If you plan to bet . So far sporty bet has proved better in all aspect . Bet pawa next , primier , meridian n sport pesa in my list
Unachosema kwel mkuu mimi mwenyewe ilinisumbua siku ya kwanza kifanya kutoa pesa lakini baada ya kuiverfy akaunt yangu naweka pesa na kutoa vile nipendavyoMkuu mbona mi nawala na na kutoa pesa kila muda nikitaka na kwenye parimatch kuna kuwaga mpaka na balance ya milioni na ipo tu labda bado hujaweka details zako za kutosha ndiyo maana ina zingua ku withdrawal.
Tunashukuru Kwa onyoNilikuwa mteja mzuri wa parimatch lakini nimekuja kugundua ni matapeli. Unaweka hela inaingia vizuri tuh lakini ukija kutoa hela hawakuoneshi hela umetolea kupitia number gani halafu utakuja kuona hela haingihi then utawatafuta watakuambia tunafanyia kazi.
Mwishowe utakuja kuona ulitoa kupitia number wanaojua wao. SASA badala wabadirishe number ikae sawa utakuja kuona kumbe kuna number wameiset wao hela isiingie kwako.
Nilichogundua wanashirikiana na Tigopesa kufanya wizi au kufanya makusudi hela zichelewe kuingia.
So ndugu, marafiki na watahadharisha na Parimatch ni matapeli. Usijeweka hela ukabetia huko watakuja wakuibie tuh.
Mleta madq itakuwa hajakamilisha details za akaunti,ikiwemo kuupload copy ya kitambulisho Cha nida,driving licence au Cha mpiga kura pamoja na emailUnachosema kwel mkuu mimi mwenyewe ilinisumbua siku ya kwanza kifanya kutoa pesa lakini baada ya kuiverfy akaunt yangu naweka pesa na kutoa vile nipendavyo
Tapeli zaidi ya pAri match dont even use that company . If you plan to bet . So far sporty bet has proved better in all aspect . Bet pawa next , primier , meridian n sport pesa in my list
BettingWhat are those firms for??
Betting
Helabet Wana shida gani Kaka? Nawatumia kwenye kubetiBila kusahau na ndugu zao helabet....