ONYO: Ubungo Darajani kuna wezi balaa

Kuna mmoja alitaka kumwibia polisi mstaafu mmoja ile anataka kuiba tu simu akamdaka mkono alipewa kichwa kimoja tu kimya kimya nikaona anatema meno matatu.
 
 
Unakuta jamaa anakimbilia gari alaf akifika mlangoni anajifanya anahangaika kuingia ndani so wewe akili yako yote itakuwa kutafuta namna ya kupita uingie ndani uku unawaachia wengine wakupekue watakavyo
 
Inabidi kununua bastola tu. Hakuna namna
 
Acha hizo sasa unatetea wezi, mwenzio kakaa kituoni kwa ajili ya uchunguzi we unaleta ungese, au hujui lolote kichwani mwako
 
Ukishuka kweny gar toka mikoani usiku ni vyema kupakia boda kuliko kusogelea maeneo yale
 
Hakuna kitu huwa kinanishangaza kama swala la vibaka police wapo na mda wote Wanazunguka tu kwenye gar kaxi Yao kuvizia maroli tu nimekulia ubungo riveside naijuwa mipango yote ya pale ubungo
 
Duu watu ma Expert





Mods naomba hii thread iwe sticky
 
Acha hizo sasa unatetea wezi, mwenzio kakaa kituoni kwa ajili ya uchunguzi we unaleta ungese, au hujui lolote kichwani mwako
Ahaaa matusi mipasho fahari yako "uchafu wa kinywa ndio tafsiri mtu alivyo"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…