zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Mkuu masaa 3 yangu pale yalikua na kitu nachotafuta,ila kama upo dar kama si wewe basis hata mdogo ataingia mikononi mwao siku moja...yangu taarifa tu"ulikaa pale masaa 3"?
Uliwaona wezi wanavibegi mgongoni wanapokimbilia gari huwa hawapandi!!!
Hapa mimi napata mshangao, watu waliopita leo darajani wakienda nakurudi wakikuona umekaa kwa muda wa Masaa 3 watakufirikiaje?
Sasa wewe na wale waobeba vibegi mgongoni japo wanakimbilia gari na hawapandi ninani kati yenu atakuwa mshukiwa?
anatoa siri ashughulikiwe.apigwe mandeUnatoa siri
Wale hakuna hata mmoja wa kunigusa,anatoa siri ashughulikiwe.apigwe mande
Mkuu inaonekana unawafahamu,basi ni vyema ukatumia nafasi hii kwenda kituo chochote cha polisi uwataarifu ikiwezekana ukasaidie kukamatwa kwao!Ahsante kwa taarifa.Wale hakuna hata mmoja wa kunigusa,
Kile kituo ni hatari...ukifika pale usijisahau...umust be active..kama gari imejaa usipande.otherwise utaumia