Onyo kwa wapiga chabo

Kitaani kuna mzee anaitwa mjomba.huyu mzee ni mkongwe wa chabo duniani!kama una kitu yako unataka ukaile gesti yuko tayari kudhamini pambano lote kwa malipo ya chabo bila kuzima taa!.ole wako uzime taa anakuharibia siku.anakwambia staili anazotaka umfanyie demu ili afaidi.anakwambia kaanza kozi ana miaka 18 dadekiii.hadi jicho moja dogo sababu ya kulibana wakati wa chabo.huyo ndo mjomba banaaa
 
[emoji23] [emoji23] sasa ye anapata faida gan?
 
Si mzima huyo πŸ˜€
 
Ni Dar es Salaam?
 
Yaani nikija piemu kwako ndio nitakutwa na hilo janga au?!!!!!
Hahaha
Ukija pm si unataka ujue alipo mjomba chabo??je ukishajua alipo utaenda kumfanyia interview??au adhamini pambano letu mi na we??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…