Onyo kwa vijana wa ACT Tanzania

Onyo kwa vijana wa ACT Tanzania

Status
Not open for further replies.
Nimepata taarifa za uhakika kwamba vijana wa ACT tanzania wanatumika kunichafua mimi na Mwampamba kwenye social media.naomba kuwaambia kwamba mimi na Mwampamba hatuwezi kujiunga na chama cha wahuni ACT Tanzania na naomba kuwaambia sisi tunajua vyanzo vya mapato ya maboss wenu na mkiendelea tutawaanika hapa.fanyeni siasa safi sio huu upuuzi wakati mnajijua ni wapuuzi tu.tutawalipua soon endeleeni

Yaani juliana sasa chanzo cha mapato cha ACT nani hajui kua ni CCM
 
Ivi kushabikia mafisadi waendelee kulaghai watz unanufaika Kwa kiasi gain bibie?
 
Hili ni gemu la kitoto sana,wanataka kutuaminisha kuwa ACT si tawi la CCM? Wenye akili ndogo watadanganyika!
 
Nimepata taarifa za uhakika kwamba vijana wa ACT tanzania wanatumika kunichafua mimi na Mwampamba kwenye social media.naomba kuwaambia kwamba mimi na Mwampamba hatuwezi kujiunga na chama cha wahuni ACT Tanzania na naomba kuwaambia sisi tunajua vyanzo vya mapato ya maboss wenu na mkiendelea tutawaanika hapa.fanyeni siasa safi sio huu upuuzi wakati mnajijua ni wapuuzi tu.tutawalipua soon endeleeni

Bibie Juliana shonza naona laana ya usaliti na maruweruwe ya kutojitambua yanaanza kukuandama taratibu...
 
Last edited by a moderator:
ccm tuna matawi nchi nzima hatuwezi kuwa na matawi ya kihuni kama ACT tanzania
 
Kwa kweli nchi yetu ina sinema za kushangaza mno kwenye siasa zetu..

i mean hata hollywood hawawezi sinema hizi......

yaani unashangaa hili mara linakuja lingine unashangaa tena

may be account yake imekuwa hacked

siamini kama ni yeye
 
Hatuna matawi ya wahuni kama hawa waganga njaa but soon tutawalipua waache waendelee!!!Nadhani tunafahamiana vizuri
ACT ni sawa kundi fulani la taarabu inaendeshwa kwa fadhila za chama fulani hawafiki kokote mtaona watajipakia na kujipakua mda si mrefu.
 
Hata mimi mkuu hawa watu waanzilishi wa ACT vyanzo vyao vya pesa tunavijua jamaa wanatumika kweli hawana la maana hata moja.

hamfurahi kwamba ipo kuiharibia CDM? mbona tena mnaiharibia?
 
Bibie Juliana shonza naona laana ya usaliti na maruweruwe ya kutojitambua yanaanza kukuandama taratibu...
Wewe inabidi upewe pole tu mwenzako july tayari anamchumba unahangaika nae wa nini wewe hata mchumba wa kuiba huna unategemea waume wa kudaka njia panda tuli mdada utaharibikiwa sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom