mkuu kumbe ni wewe,andaa kabisa wosia
tafadhali sana,kama uko hapa au hauko hapa,kwangu maruufuku.kila baada ya siku tatu eti unakuja kuchonga waif kucha,nikitoka job nakukuta umebeba mguu wa waifu eti unamsafisha.tusije kuonana wabaya.nilijinyima sana kulipa mahari ya laki mbili na nusu so usijifanye mjanja hapa town.tafadhali sana tutaonana wabaya
Duuuu!!!
Mkuu,mahali ulitoa mwaka gani na je wife wako alikuwa na ujauzito wakati unachumbia??!! Samahani lakini!!!
Mkwara huo.!! Kama wewe ni janadume mkanye mkeo na atii hio amri sio kuja hapa jukwaani kuchimba mkwara. Grow up man???
miaka imekwenda kidogo mkuu
we jitie kimbelembele udhani mkwara,kama we ndo mchonga kucha endelea tu,utakiona unachokitafuta
na kichen pat marufuku huwa wanaambiwa awe na mafika matatu akili kukichwa
Duh! Nimeishia kucheka tu!
Kama vipi mchonge mwenyewe tu!
Ok,sasa unaonaje wife wako ukamwambia tu yeye kwanza kuwa hiyo tabia ife au unampenda sana huwezi mwambia??!!
Kama kweli hicho kidume ni mpaka rangi za kucha kweli atakuwa jf??!!
Ni hayo tu Mkuu maana yaelekea hakika mpaka rangi amekukera!!!
makubwa sasa SI umweleze sasa
Jf ya siku hizi bwana!
Kuna mpa rangi mmoja mkongo ahh yule jamaa kwa wake za watu noma
Napenda kuona forum rules zina apply. Communityyetu inakuwa na ku-mature vizuri pale tunapo pata quality discussion zinazoendana na habits na interest zetu. Admin wengi wetu sasa tunachoka jinsiunavyo administer hii jamii forum. Kwangu imekuwa bonge la bahati kukutata nawatu wenye upeo mbalimbali humu jamvini. The knowledge and friendship we haveexchnaged is invaluable. Japo wengine tulitofautiana na pengine hatakukwaruzana kwenye points Fulani Fulani lakini tuliishia kuwa marafiki wazuri.
The forum hasbeen designed for sharing opinions and helpful information and is open for bothprofessionals and beginners. Lakini naona mwelekeo sikuhizi umepotea bila adminkuchukua hatua. Watu wanafungua thread za hovyo kila kukicha. Wengine wanarudiakufungua threads ambazo zilishafungulia. Mara nimenunua simu ya Tecno, Marablablabla
This is nonsense.Angalia huyu nae kaja na onyo la mpaka rangi kucha.
Aisee ......
Hivi huyo mkeo hajui kuwa jambo fulani ni baya hadi uje kiuoga humu ukijidai unachimba mkwara?
Inaonekana wewe ni muoga sana
Ungekuwa ni jasiri wala usingepoteza muda wako kuja hapa!
Duh. ...
Napenda kuona forum rules zina apply. Communityyetu inakuwa na ku-mature vizuri pale tunapo pata quality discussionzinazoendana na habits na interest zetu. Admin wengi wetu sasa tunachoka jinsiunavyo administer hii jamii forum. Kwangu imekuwa bonge la bahati kukutata nawatu wenye upeo mbalimbali humu jamvini. The knowledge and friendship we haveexchnaged is invaluable. Japo wengine tulitofautiana na pengine hatakukwaruzana kwenye points Fulani Fulani lakini tuliishia kuwa marafiki wazuri.
The forum hasbeen designed for sharing opinions and helpful information and is open for bothprofessionals and beginners. Lakini naona mwelekeo sikuhizi umepotea bila adminkuchukua hatua. Watu wanafungua thread za hovyo kila kukicha. Wengine wanarudiakufungua threads ambazo zilishafungulia. Mara nimenunua simu ya Tecno, Marablablabla
This is nonsense.Angalia huyu nae kaja na onyo la mpaka rangi kucha.
kama na wewe unatabia za mchonga kucha ndo maana unamsapoti arobaini zako zinakaribia
afu wanajifanya wanajua sana kulea miguu ya wake za watu
nashukuru sana kwa ushauri wako mkuu,ila sina kumbukumbu nzuri kama niliku pm nikakwambia uje hapa.kama niliku pm basi nisamehe,nitakuwa nimejisahau
nitayatengua hayo mawili
Huyu ndo alilalamika km posts zake zinafutwa. Posts zenyewe ndo hizi.
Hehehehehee
Si bora anamchongea nyumbani....
Kuliko wale wadada wa saluni wanaowaosha vichwa.....
Kumbe na nyie mna wivu eeeeh
asante kwa mchango wako.karibu tena
mkuu,cha mtu cha mtu tu
Cha mtu huliwa na mtu, chuma huliwa na kutu
Uuuuuuh jamani jamani wewe kidume kwahiyo unamuogopa kumuonya Mkeo kwanza Hadi unakuja humu jamani.....
Pokea ushauri utakusaidia acha ubishi kama madiwani huwezi kuwa mjuvi wa kila jambo mdogo wangu!!!
Ashaliwa mkeo....!!
kumnyoa vinyweleo vya kwapani na katikati ya miguu hutaki unajifanya kuona kinyaa...wenzio ndo wanakutafuniaaaaaaaaaaaa mwanaume jitume
R.I.P (in Advance) Mkata Kucha popote ulipo...
usinipandishe mori mkuu nikamharibu mpaka rangi hata kesho
si anajifanya kidume?
mkuu mbona hayo nayafanya sana
sijaogopa mkuu ila kuna huyu jamaa anataka kunichezea rafu
ni kweli mkuu ila akatafute sehemu nyingine ya kula,sio kwangu
haya mpaka rangi kasikia na yule mkongo man wa salon je? yule mwalimu wa kwaya? na yule anaemletea vipodozi makufuli na jeck ofisini? mwendesha bodaboda manake nasikia anaacha gari car wash anapanda bodaboda kukwepa foleni, kwa mtindo huu utamaliza wengi.
samahani mkuu naona sasa unataka kunichanganya,coz naona kila kona maadui,hasa huyo boda boda dah nae siku zake zinakuja
Braza kaa mbali na kazi yangu,ohoo sii kaniita mwenyewe?
Iheshm kazi yangu tafadhali,
mbona ww dem wangu anaku massage daily pale berber shop.na huzungumzii kitu,wee wako anauma eeh?
Au nimwambie?mkeo
sorry just fun only
mkuu kumbe ni wewe,andaa kabisa wosia
eeeh yashakuwa hayo tena,
duuu haya endelea nae ila miguu yake laini sana,hata mimi alinambia nna mikono lain kwaio chunga asije akatoroka kwenda kutafta mikono laini ya wafanyakazi wenzangu,
Mii sipo.
Akuuuu nshajitoa akuu mweeeeeee.
Vp wale wamasai wanaosuka nywele? Unakuta mke wa mtu amelalia paja la mmasai. Na mmasai hana kitu ndani zaidi ya lile shuka lake.
Okay...
Ku-quote kooote nimejua unakuja na Bonge la summary, kumbe hakuna kitu. Mnatuchosha kuscrol bwana!Okay...
Aisee wewe lazima ugongewe na mkata kucha. Mahari yenyewe umelipa laki 2 wakati hiyo pesa watu wanagonga show usiku mmoja kwa demu.tafadhali sana,kama uko hapa au hauko hapa,kwangu maruufuku.kila baada ya siku tatu eti unakuja kuchonga waif kucha,nikitoka job nakukuta umebeba mguu wa waifu eti unamsafisha.tusije kuonana wabaya.nilijinyima sana kulipa mahari ya laki mbili na nusu so usijifanye mjanja hapa town.tafadhali sana tutaonana wabaya
tafadhali sana,kama uko hapa au hauko hapa,kwangu maruufuku.kila baada ya siku tatu eti unakuja kuchonga waif kucha,nikitoka job nakukuta umebeba mguu wa waifu eti unamsafisha.tusije kuonana wabaya.nilijinyima sana kulipa mahari ya laki mbili na nusu so usijifanye mjanja hapa town.tafadhali sana tutaonana wabaya
Mkuu,si uongee na mkeo badala ya kumchimbia mtu mkwala tena mtandaoni?.Mbona hujiamini?
Aisee wewe lazima ugongewe na mkata kucha. Mahari yenyewe umelipa laki 2 wakati hiyo pesa watu wanagonga show usiku mmoja kwa demu.
We hapo uliozeshwa mzoga acha mpk rangi afaudu.
unapaka rangi kucha au paja?,mbona kono kwenye paja
Uoga tu si ungoje aje umchane live!?
Afu dogo acha ushamba basi!
Uo umaarufu wa kikuda unautafuta wewe! Period!
Wewe ngoja tu mwezi wa saba tayari karibu mtafungua shule!
Pole sana mkuu
Mjambishe cheche anachezea eneo htari.
acha woga wewe ...unamuhofia mchonga kucha ummemsahau wa buchani