Onyo kwa mpaka rangi kucha

Hehehehehee

Si bora anamchongea nyumbani....

Kuliko wale wadada wa saluni wanaowaosha vichwa.....

Kumbe na nyie mna wivu eeeeh
 
Ashaliwa mkeo....!!
 
kumnyoa vinyweleo vya kwapani na katikati ya miguu hutaki unajifanya kuona kinyaa...wenzio ndo wanakutafuniaaaaaaaaaaaa mwanaume jitume
 
Uuuuuuh jamani jamani wewe kidume kwahiyo unamuogopa kumuonya Mkeo kwanza Hadi unakuja humu jamani.....

sijaogopa mkuu ila kuna huyu jamaa anataka kunichezea rafu
 

haya mpaka rangi kasikia na yule mkongo man wa salon je? yule mwalimu wa kwaya? na yule anaemletea vipodozi makufuli na jeck ofisini? mwendesha bodaboda manake nasikia anaacha gari car wash anapanda bodaboda kukwepa foleni, kwa mtindo huu utamaliza wengi.
 

samahani mkuu naona sasa unataka kunichanganya,coz naona kila kona maadui,hasa huyo boda boda dah nae siku zake zinakuja
 
Braza kaa mbali na kazi yangu,ohoo sii kaniita mwenyewe?
Iheshm kazi yangu tafadhali,
mbona ww dem wangu anaku massage daily pale berber shop.na huzungumzii kitu,wee wako anauma eeh?
Au nimwambie?mkeo
sorry just fun only
 
Braza kaa mbali na kazi yangu,ohoo sii kaniita mwenyewe?
Iheshm kazi yangu tafadhali,
mbona ww dem wangu anaku massage daily pale berber shop.na huzungumzii kitu,wee wako anauma eeh?
Au nimwambie?mkeo
sorry just fun only

mkuu kumbe ni wewe,andaa kabisa wosia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…