Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
Mkuu,mahali ulitoa mwaka gani na je wife wako alikuwa na ujauzito wakati unachumbia??!! Samahani lakini!!!
Mkwara huo.!! Kama wewe ni janadume mkanye mkeo na atii hio amri sio kuja hapa jukwaani kuchimba mkwara. Grow up man???
miaka imekwenda kidogo mkuu
Hii nayo ni post mkuu. jaribu hata kufungua post za watu na ujibu maswali japo kidogo kuliko kufungua post zisizo na msingi.tafadhali sana,kama uko hapa au hauko hapa,kwangu maruufuku.kila baada ya siku tatu eti unakuja kuchonga waif kucha,nikitoka job nakukuta umebeba mguu wa waifu eti unamsafisha.tusije kuonana wabaya.nilijinyima sana kulipa mahari ya laki mbili na nusu so usijifanye mjanja hapa town.tafadhali sana tutaonana wabaya
Jf ya siku hizi bwana!
tafadhali sana,kama uko hapa au hauko hapa,kwangu maruufuku.kila baada ya siku tatu eti unakuja kuchonga waif kucha,nikitoka job nakukuta umebeba mguu wa waifu eti unamsafisha.tusije kuonana wabaya.nilijinyima sana kulipa mahari ya laki mbili na nusu so usijifanye mjanja hapa town.tafadhali sana tutaonana wabaya
Napenda kuona forum rules zina apply. Communityyetu inakuwa na ku-mature vizuri pale tunapo pata quality discussionzinazoendana na habits na interest zetu. Admin wengi wetu sasa tunachoka jinsiunavyo administer hii jamii forum. Kwangu imekuwa bonge la bahati kukutata nawatu wenye upeo mbalimbali humu jamvini. The knowledge and friendship we haveexchnaged is invaluable. Japo wengine tulitofautiana na pengine hatakukwaruzana kwenye points Fulani Fulani lakini tuliishia kuwa marafiki wazuri.Jf ya siku hizi bwana!
Aisee ......
Hivi huyo mkeo hajui kuwa jambo fulani ni baya hadi uje kiuoga humu ukijidai unachimba mkwara?
Inaonekana wewe ni muoga sana
Ungekuwa ni jasiri wala usingepoteza muda wako kuja hapa!
Kuna mpa rangi mmoja mkongo ahh yule jamaa kwa wake za watu noma
Hii nayo ni post mkuu. jaribu hata kufungua post za watu na ujibu maswali japo kidogo kuliko kufungua post zisizo na msingi.