Onyo: Forex trading haina mamlaka ya usimamizi

Week mbili za nn unataka upewe Mkuu?
cdc2bd97b0229de974f04f29ddf2857c.jpg

kilichotokea baada ya wiki mbili
 
Hapo wameambiwa kuhusu Forex.

Siku wakiambiwa kuhusu ETFs, Commodities, Futures, Options si watazimia?

Wengi wanatumia muda mwingi kubinua midomo instagram badala ya kujifunza vitu vya msingi.
Bitcoin kwishney!
 
sitakaa nikudharau hata siku moja kwenye maisha yangu umenionesha jinsi dunia inavyoliwa na wachache wenye maarifa na wanaojua kutumia bongo zao vizur mimi now naishi kwa pesa ya forex japo bado sijafika kuwa na mamilion ila siku c nyingi nitafika huko.... Mungu akupe maisha marefu ndugu yetu wewe umetuokoa na utatuokoa vijana wengi kwenye hii nchii..msimdharau huyu kijana kabisa kama hajakukomboa wewe basi atamkomboa ndugu yako
Unatumia mtaji wa sh. ngapi kupata faida ya sh. ngapi kwa muda gani!!

Hatuhitaji jibu la "inategemea mara ooh, mara aah!"
 
watanzania wengi ulimbukeni.. Wametoka kulima matikiti Sasa wanadakia forex kichwa kichwa.. nawaambia kilio chaja.. If u want to trade learn kwa Muda tafuta agent wazuri international trade huko. Hawa watu wakati wanaojifanya walimu, wengi Wanakuwa na malengo ya utapeli... Msiseme hatukuwaambia.
 
Mkuu tuko pamoja
Safari tuliyoianza pamoja tutaimaliza pamoja regardless of whatever happens

Hao wanaodhani ni utapeli they are narrow-minded

Nimesoma Forex nikiwa nachukua BAF (business aacounting and Finance) chuo kikuu Mzumbe. Nimesoma Forex nikiwa nachukua my CPA(Certified Public Accountant).
Vitu vingi vinavyohusu forex nimevisoma theoretically when in Collage and during my CPA and what you introduced is the practical side of it kitu ambacho I didn't know if it really axisted in the physical world.

Hao wanaongea kwamba ni utapeli ni wale waliokimbia umande wa MATHEMATICS and unfortunately they don't want to have open mind

We all know what we are doing

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kejeli!
Haijawahi kutokea mtu akute kasha la fedha limedondosha badala achujue hela aje kukuamsha nyumbani kwenu ili muende kuchukua hela!!

Hiyo biashara ya kubahatisha ni ngumu kupiga hela kuliko kupigwa!

Anataka muwe wengi ili kupunguza volume ya hela inayoliwa kwa mmoja mmoja, eventually mnakuwa addicted na mchezo, kuuacha inashindikana.

Vihela vya kujifariji hamtavikosa, lakini kutajirika msahau.

Nendeni mkalime mtapata hela.
 
Usiniletee kelele nyingi.. Niambie ni wapi BOT imeruhusu hiyo biashara nchini kwetu...

Nachojua Bank ikifahamika inafanya hicho kitu ni inaporwa leseni siku hiyo hiyo.. Hiyo biashara ni nchi chache sana duniani zimeruhusu na nyingine zikiruhusu kwa leseni ya gambling na nyingine chache ndio wanaitambua kama financial trading..

Sasa niambie wewe, ni wapi na lini Benki kuu kama regulator wa benki za biashara imeruhusu hiyo biashara hapa nchini?

Unafahamu kuwa wewe na mleta mada mna zero knowledge kabisa kwenye suala la global financial market!? Yaani wewe na yeye hamna tofauti kabisa sababu wote mko gizani na hamjui kama mko gizani badala yake mnatumia hisia tu na vi-logic uchwara kwenye huu mjadala?

Mwenzako kasema haina mamlaka hapa Tanzania na wewe unasema banks hazifanyi hii kitu kwa grounds tu za kwamba eti banks sizingekuwa zinapata hasara, sasa hizo akili kama sio za kijima ni nini?

Unajua hata maana ya term "Trading" wewe kweli? I can see stark illiteracy in you and your fellow moniker brought up this thread.

Sasa kwa taarifa yako banks zinafanya mpaka exotic currency pairs trading wanatumia mfumo unaitwa BANCS ambao ni tofauti na wa hawa retail traders wanatuomia brokerage firms ambao ziko regulated all over the world.

Wewe kwa akili yako unafikiri zile $5.3trillions zinazo zunguka daily kwenye market huwa ni za retail traders peke yao tu eti hee??? Acha ushamba kuna big players pale wewe hao retail traders ni vidagaa tu.

Jaribu kuchunguza kwa kuongea hata na bankers wazoefu hapo mtaani kwako wakueleze kueleze kabla hujaja kuandika madudu hapa kwa jambo usilolijua.

Au hata BOT wenyewe nenda kawaulize watu sahihi uskie watakwambiaje.

Ndio forex ni gambling kama hujui unachokifanya na ndio maana amateurs players huwa wanaishia kupoteza tu haijalishi ni retail traders au mabenki.
 
Kama hawaruhusu mbona ontario kapewa kibali cha kutoa mafunzo?? Wangekua hawaruhusu wangempa kibali?
 
Deci nao walipewa vibali kufungua biashara yao, watu wanabomolewa vibanda vyao japo wana vibali toka vya ujenzi, mpaka wanalipa kodi ya majengo.

Leseni ndio kitu muhimu.
 
Unafahamu kuwa wewe na mleta mada mna zero knowledge kabisa kwenye suala la global financial market!? Yaani wewe na yeye hamna tofauti kabisa sababu wote mko gizani na hamjui kama mko gizani badala yake mnatumia hisia tu na vi-logic uchwara kwenye huu mjadala?

Mwenzako kasema haina mamlaka hapa Tanzania na wewe unasema banks hazifanyi hii kitu kwa grounds tu za kwamba eti banks sizingekuwa zinapata hasara, sasa hizo akili kama sio za kijima ni nini?

Unajua hata maana ya term "Trading" wewe kweli? I can see stark illiteracy in you and your fellow moniker brought up this thread.

Sasa kwa taarifa yako banks zinafanya mpaka exotic currency pairs trading wanatumia mfumo unaitwa BANCS ambao ni tofauti na wa hawa retail traders wanatuomia brokerage firms ambao ziko regulated all over the world.

Wewe kwa akili yako unafikiri zile $5.3trillions zinazo zunguka daily kwenye market huwa ni za retail traders peke yao tu eti hee??? Acha ushamba kuna big players pale wewe hao retail traders ni vidagaa tu.

Jaribu kuchunguza kwa kuongea hata na bankers wazoefu hapo mtaani kwako wakueleze kueleze kabla hujaja kuandika madudu hapa kwa jambo usilolijua.

Au hata BOT wenyewe nenda kawaulize watu sahihi uskie watakwambiaje.

Ndio forex ni gambling kama hujui unachokifanya na ndio maana amateurs players huwa wanaishia kupoteza tu haijalishi ni retail traders au mabenki.
Kwahiyo BOT inaruhusu commercial banks zicheze kamari na pesa za watu?

Ama kweli naweza kuwa mjinga wa mwisho... Kingine nimekuambia niletee hapa ni wapi hizo biashara zimeruhusiwa hapa nchini. Nchi ambazo wameruhusu leseni zake ziko wazi, niletee leseni yetu hiyo biashara inatambulika kama gambling au financial trading?
 
Rejea hapa hii post yako ambayo ulikiri unafanya forex kwenye thread "Forex:Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Duniani ambayo Hakuna Benki itataka uijue" ambayo sasa unaiita kamari na ukatoa ushauri
 
Attachments

  • Screenshot_20170920-092341.png
    Screenshot_20170920-092341.png
    79.2 KB · Views: 65
Rejea hapa hii post yako ambayo ulikiri unafanya forex ambayo sasa unaiita kamari na ukatoa ushauri
Mkuu labda concern yangu kwenye hili jambo hujaielewa.. Ninachojaribu kuwaambia ni kuwa hili jambo sio la mteremko kama wanavyoaminishwa. Kuna wengine wataingia huko full mkoko alafu mambo yakienda kombo wataanza kuleta thread za kumtukana kijana wa watu..

Ontario lazima awe positive sababu yeye anatafuta pesa, hawezi kuongelea kwenye mtazamo hasi. Wewe unafikiri yeye ni mjinga kurent office anayolipa kodi zaidi ya million 80 kwa mwaka? He invested on that platform na hawezi kuwakatisha watu tamaa, lazima awahaminishe kwamba ni mteremko tu. Kama hiyo biashara ingekuwa ni rahisi banks zinazoajiri first class students as their Finance/Treasury Officers, zenye deposits za trillions of money zingekuwa zinapata faida ya trillions kila mwaka. Banks zisingelalamika serikali kutoa pesa zao kuzipeleka benki kuu badala yake wangeinvest zaidi kwenye huo mchezo wapate pesa za bwelele..

Pia, wajue kama hiyo biashara haina leseni unaweza ukaporwa pesa au usilipwe pesa yako au ukalipwa na ukashindwa kuitoa alafu ukashindwa kwenda kushtaki popote sababu labda huo mchezo haufahamiki kwenye sheria za nchi yetu.. Ndio maana nimeweka wazi anayejua huo mchezo umesajiliwaje hapa nchini atuambie au atuletee madodoso kutoka Benki Kuu..

Mimi trading nafanya tangia miaka kadhaa iliyopita na ukweli ni kwamba hakuna chochote kikubwa kinachopatikana huko.. Beneficiary mara nyingi ni broker!
 
Kwahiyo BOT inaruhusu commercial banks zicheze kamari na pesa za watu?

Ama kweli naweza kuwa mjinga wa mwisho... Kingine nimekuambia niletee hapa ni wapi hizo biashara zimeruhusiwa hapa nchini. Nchi ambazo wameruhusu leseni zake ziko wazi, niletee leseni yetu hiyo biashara inatambulika kama gambling au financial trading?
nilichokigundua watu walioijua hii kitu mapema,sasa hivi hawataki na wengine waijue.wanafanya kila aina kuzuia wengine wasijue
 
Mkuu labda concern yangu kwenye hili jambo hujaielewa.. Ninachojaribu kuwaambia ni kuwa hili jambo sio la mteremko kama wanavyoaminishwa. Kuna wengine wataingia huko full mkoko alafu mambo yakienda kombo wataanza kuleta thread za kumtukana kijana wa watu..

Ontario lazima awe positive sababu yeye anatafuta pesa, hawezi kuongelea kwenye mtazamo hasi. Wewe unafikiri yeye ni mjinga kurent office anayolipa kodi zaidi ya million 80 kwa mwaka? He invested on that platform na hawezi kuwakatisha watu tamaa, lazima awahaminishe kwamba ni mteremko tu. Kama hiyo biashara ingekuwa ni rahisi banks zinazoajiri first class students as their Finance/Treasury Officers, zenye deposits za trillions of money zingekuwa zinapata faida ya trillions kila mwaka. Banks zisingelalamika serikali kutoa pesa zao kuzipeleka benki kuu badala yake wangeinvest zaidi kwenye huo mchezo wapate pesa za bwelele..

Pia, wajue kama hiyo biashara haina leseni unaweza ukaporwa pesa au usilipwe pesa yako au ukalipwa na ukashindwa kuitoa alafu ukashindwa kwenda kushtaki popote sababu labda huo mchezo haufahamiki kwenye sheria za nchi yetu.. Ndio maana nimeweka wazi anayejua huo mchezo umesajiliwaje hapa nchini atuambie au atuletee madodoso kutoka Benki Kuu..

Mimi trading nafanya tangia miaka kadhaa iliyopita na ukweli ni kwamba hakuna chochote kikubwa kinachopatikana huko.. Beneficiary mara nyingi ni broker!

Sasa ndio nimeelewa kwanini unatumia nguvu nyingi sana kuaminisha watu forex ni gambling.

Kumbe uliingia kichwa kichwaa ukaambulia patupu tu bila kufanya hata single withdrawal!? Yaani wewe ulkuwa ni loser a.k.a market donor

Na mara nyingi watu kama nyie ndio huwa mmejawa na negativities kuhusu forex na kuishia kuwachukia brokers tu mkifikiri kwamba mnaibiwa wakati hamna trading skills.

Kushindwa kwako haimaniishi kwamba hakuna successful retail forex traders, wapo kibao sana na nnawajua kwa macho sio kwa kuskia, na iliwachukua kipindi kirefu ku adapt erratic market environment ya forex... Sasa basi kama ulishindwa wewe acha wenzako wenye moyo wakujifunza waendelee na sio wakujaza sumu eti FX ni gambling huo ni upuuzi.
 
Daily profit on options trading on NADEX.

NADEX is an exchange. No broker is involved. You deal with another trader on the opposite side. NADEX just facilitates the trade and take a small fee for that.

Daily profit.

Friday $500. Dow 30 Binary Options trading

Monday $800. Dow 30. Binary Options trading.

Tuesday $1600. EUR/USD. Binary Options trading.

Wednesday sitting out the market to hear the Fed decision first, as it could drastically move markets.

I let the numbers talk.

This is not cumulative. This is not the standing of my portfolio.This is daily profit.
 
DOW 30 seems to be reliable so much.
 
Back
Top Bottom