Onyo : Aina 9 Ya Simu Ambazo Sikushauri Kununua

Siku nasoma huu uzi, sikuuzingatia sana, niliona ni changamoto za wachache zimekua generalized.
Leo pixel 4xl imezima ghafla, nimerudi kuusoma tena na kuappreciate
Hata ukipitia GSMArena forum watu wa majuu huko wameweka wazi changamoto ya hii model kuzima ghafla.! Usinunue simu hasa used kama hujasoma reviews zote!
 
Kwa hiyo Tecno tununue tu
 
Siku nasoma huu uzi, sikuuzingatia sana, niliona ni changamoto za wachache zimekua generalized.
Leo pixel 4xl imezima ghafla, nimerudi kuusoma tena na kuappreciate
Douh pole sana mkuu πŸ˜” ndio maana wanasema yasipo kukuta huwezi jua uchungu na utaona wengine yaliyo wakuta ni kama drama njoo nikuuzie simu nyingine call 0628210865 k koo Aggrey
 
Walioleta Infinix Tena hizi hot aah wapewe mauwa Yao hakuna kutembea na chaji Wala kuhofia kuisha Kwa chajiπŸ˜€ hizo sim zingine ni fashion
Infinix hot 12 play ninayo mwaka wa 4 ni fire kwenye chaji
 
Unajua una ufala sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimecheka hapa hadi wananishangaa
πŸ™…β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜€πŸ˜ŽπŸ˜ƒπŸ˜¬πŸ€ͺπŸ˜πŸ˜ŠπŸ€£πŸ˜πŸ˜„πŸ’“β€οΈβ™₯οΈπŸ’•β£οΈπŸ’ž
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…