Onyesha mwenza wako wasikuhisi midimpozi

Vijana mnapowa display wenza wenu mnahatarisha usalama wa penzi lenu sio kama zamani sisi utatongoza mwaka mzima unapigwa kalenda anageuka jaji nawe mshtakiwa siku hizi vijana cross moja goli kumi.Ila kila la kheri ni waqt wenu.
 
midipozi ndio nini? msaada kwa wasio vijana wa kisasa pls
 
Siku hizi vijana wa kileo wamekuja na mpya eti usipowaonyesha mwenza wako wanahisi haupigi kazi, jogoo hawiki, joka wa kibisa n.k. Kama haitoshi wametoa na neno jpya kuwa eti utaitwa midimpozi kwa maana ile ile ya kuwa huwezi kumshughulikia mwanamke wako kwa tendo lile mahususi la mapenzi.

Kazi kwenu vijana wa kileo, kidigitali, kizazi cha smartphone, kizazi cha instagram, Twitter, Facebook, whatsapp, n.k kuonyeshana wapenzi wenu ili msihisiwe vibaya na kupewa majina kibao na mbaya zaidi kudhalilishana mitandaoni.

Ni hayo tu. Matusi, lugha chafu hapa si mahali pake kama huna point ya kuchangia pita kimyakimya kama vile hujaona kitu. Kama imekugusa kwa namna moja ama nyingine vumilia tu ama waonyeshe tu mtu wako.

Mambo hayo wanafanya wavulana wanaobarehe........!!!
 
hahaha kazi kweli..jambo limezua jambo
 
Back
Top Bottom