Only Stupid People Oppose US- Russia ties -Trump!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Hayo ndo maneno ya Raisi mpya wa USA, D.Trump!

0D29E338-E4AB-4519-9530-778A1D0EC782_v0_l.jpg

Trump: Only ‘stupid’ people and ‘fools’ think good relations with Kremlin bad
 
Trump yuko sawa kabisa hapo.

Uhusiano mzuri baina ya nchi ni jambo zuri.

Lakini kwa vile aliyesema hivyo ni Trump basi watu watapinga tu.

Kitu hicho hicho angesema Obama au Clinton si ajabu kingeungwa mkono na wote wanaompinga Trump.

I mean, ni nini kilicho kibaya kwa Marekani na Urusi kuwa na uhusiano mzuri?
 
Nijuavyo Mimi ni kwamba urusi na marekani wakiwa marafiki dunia itapoa hata yale yaliokwisha tokea Allepo Syria yasingetokea na vita nyingi zilizowahi tokea duniani miamba hii ilihusika natumai uelekeo wa sera za uchumi wa dunia utakuwa na sura mpya
 
I doubt if Mr. President elect understands Mr Putin well. He is not different from a snake
 
Nijuavyo Mimi ni kwamba urusi na marekani wakiwa marafiki dunia itapoa hata yale yaliokwisha tokea Allepo Syria yasingetokea na vita nyingi zilizowahi tokea duniani miamba hii ilihusika natumai uelekeo wa sera za uchumi wa dunia utakuwa na sura mpya

Kutokana na misimamo ya Trump RUSSIA imeanza kuondoa majeshi SYRIA na TRUMP KASEMA ataondoa majeshi yote syria ya marekani hataki wapigane na rafiki yake Putin SYRIA.Matunda yameshaanza kuonekana.
 
I predict; ziara rasmi ya kwanza ya Trump overseas itakuwa Russia.
 
Wengine wakisema watadumisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar mnawaita madikteta.siku zote umoja ni nguvu. Americans wamebadili sana mwelekeo ktk siku za hivi karibuni juu ya sera za ulinzi na ushirikiano na mataifa mengine ikiwa ni pamoja na regional security allies.
 
Watajijua wenyewe,sisi acha mheshimiwa sana amkomoe Mbowe kwa kubomoa Bilicanas.
 
Trump yuko sawa kabisa hapo.

Uhusiano mzuri baina ya nchi ni jambo zuri.

Lakini kwa vile aliyesema hivyo ni Trump basi watu watapinga tu.

Kitu hicho hicho angesema Obama au Clinton si ajabu kingeungwa mkono na wote wanaompinga Trump.

I mean, ni nini kilicho kibaya kwa Marekani na Urusi kuwa na uhusiano mzuri?
Waambiee mpwaaa
Awajuiii mauwaji y'a Iraq KUNANUSA NA RUSSIA
SYRIA TENA WAPOO
NENDA AFGHANISTAN WAPOOO HAOHAOO

LEBANON WAPOOOO HAOHAOOO.. SWALA LAKUPENDA N JAMBO JEMA.. JIULIZE TUNGESAVE WATU WANGAPI WAIOKUFA SYRIA.. IRAQ
 
Nijuavyo Mimi ni kwamba urusi na marekani wakiwa marafiki dunia itapoa hata yale yaliokwisha tokea Allepo Syria yasingetokea na vita nyingi zilizowahi tokea duniani miamba hii ilihusika natumai uelekeo wa sera za uchumi wa dunia utakuwa na sura mpya

Kwa hiyo wewe unapendelea dunia iwe ya moto sio! Watu waishi kwa tension!?
 
Trump yuko sawa kabisa hapo.

Uhusiano mzuri baina ya nchi ni jambo zuri.

Lakini kwa vile aliyesema hivyo ni Trump basi watu watapinga tu.

Kitu hicho hicho angesema Obama au Clinton si ajabu kingeungwa mkono na wote wanaompinga Trump.

I mean, ni nini kilicho kibaya kwa Marekani na Urusi kuwa na uhusiano mzuri?
Mkuu barbarossa ! Geopolitics haziko hivyo! Hizo ni systems mbili zinazogombea "World supremacy" nakila mmoja anamvizia mwenzie kama mchezo wa chess ili awe kiongozi wa dunia. Na hapa kuna mawili, aidha Trump halielewi hili ama ameruhusu kwa makusudi Putin aingie kingi. Kwa sasa Putin anacheza vizuri na kuna viashiria kuwa mkutano wa kwanza wa Trump na viongozi wa nje ni kati yake na Putin na siyo na viongozi wa NATO kama ilivyozoeleka.
 
Wengine wakisema watadumisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar mnawaita madikteta.siku zote umoja ni nguvu. Americans wamebadili sana mwelekeo ktk siku za hivi karibuni juu ya sera za ulinzi na ushirikiano na mataifa mengine ikiwa ni pamoja na regional security allies.
Kwa sababu hakuna nchi inayoitwa Tanganyika,Watu wanapinga muungano wa serikali mbili Tanzania bara na visiwani.
 
Back
Top Bottom