Only Men: Ulivyokua school Watoto wakike walikua wanakupendea nini?

Aah maisha ayo ya o - level nilikua fala tu

Ingawa manzi mmoja Samira alikua mkali sna na alinielewa but sikuweza kumla

Ni uyu tu nahisi alipotea njia coz nilikua fala tu na wala sijutii

But now mamanzi nilio soma now kipindi icho ndo wananiona kama lulu na sina time now

Ingawa 2 wawili walijichanganya wenyewe
 
Mimi shuleni nilikuwa navaa suruali kubwa sana, mpaka nikawa naitwa suruali kaptura. Mademu walikuwa wakiniona wanacheka tu. Nilikuwa nikimwita manzi, nikitongoza yeye anacheka tu. Sikuwahi kuchukuliwa serious na suruali langu. Ukija chini ni buti namba 45 navaa na soksi pair tano, shati navaa XXL, technically nilikuwa bendera inayotembea maana upepo ukipiga shati langu na suruali bwanga vinapepea tu.
Lakini si haba nilipata bahati ya kudate na watoto warembo sana.
 
S/m, O-level & advance nilikua najulikana kwa kuwa na mwili mdogo kuliko wote darasani ( process za ukuaji zilichelewa nikawa kama katoto kanasoma na mabrother) nafika form four ukinichekeck utasema form dogo wa form 1 (njuka) hata habari za totoz sikuwanazo pia walikua wananiona katoto, yangu ilikua michezo, utundu wa kudoji na ujasiriliamali wakuuza magendo .
 
Back
Top Bottom