Only in Tanzania

wamasukuma ili wapige starta kama gari ya manual iliyoisha charge kwenye betri
 
Wengine hao...........
 

Attachments

  • image.jpg
    49.3 KB · Views: 123


Noma sana

Nyuma mlango ngazi si unaburuza?

Picha kama haina uhalisia vile

Mabwaku.....

Kwani ile ya nanihii alipokwenda nyumbani kwenye ile nchi ya katavi ilikuaje mkuu si ilibidi isikumwe.au mmesahau?

Ikiwaka watadandia au watapunga mkono?
Kawaida hiyo!


​
 
Kwa hiyo Preta hii ni kawaida?
 
Last edited by a moderator:
Acha bana........Kwani hujui wanafanya hivyo kwa ajili gani...........?.....hiyo yako ni manual........kisasa ni hii.....

Only in Tanzania Preta
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo Preta hii ni kawaida?

Nadhani.......wanasema sijui eti ndio ku tug (pushback).........wayiiiii.......wanajua wenyewe bana..........
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…