Only in India..

Wahindi wengi ni vibamia, huyo mtoto kafika hapo kadushelele bado kadogo hivyo, atasanda masikini ndio kibamia tena.
 
Wahindi wengi ni vibamia, huyo mtoto kafika hapo kadushelele bado kadogo hivyo, atasanda masikini ndio kibamia tena.

Uko vizur zaid ya Google search engine
 
ndo.maanaa wanamwaga maji hovyo na kutupa takataka wakiwa kwenye.maghorofa ya.NHC
 
Inakuonyesha jinsi gani binadamu walivyo kila mahali, japokuwa wanasema sisi waafrika ni least civilized na kwamba hawa wahindi ni hard working na bla bla bla, well mbona hawana choo ndani ya treni cha huyu baba kuweza kumsitiri mwanae au ndio human nature? Hata sisi tutakuwa tumestaarabika 🙂
 
wahidi jamani ni wachafu tuwasikie hivihivi ninaae ndugu yangu mmoja amekaa india miaka mitano yaani mambo anayonisimulia huko ya wahindi siku za mwanzo sikuwa naamini so kwa hili hata sishangai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…