Samhoodsam
Member
- Sep 24, 2015
- 33
- 6
Eti Diploma wanapata mkopo au kulipiwa chochote na serikali?!Nina diploma ya Dit na nimepata vyuo vyote nilivyoomba
Sifahamu na sijaomba mkopoEti Diploma wanapata mkopo au kulipiwa chochote na serikali?!
Nina diploma ya Dit na nimepata vyuo vyote nilivyoomba
Nina diploma ya Dit na nimepata vyuo vyote nilivyoomba
kibaowapo Ardhi nawajua kibao tu wamepata... chek list waliochaguliwa ARDHI utaona hamna form six index number ndo hao hao
wapo wengi mkuu mimi ninaowafahamu tu ni zaid ya 7Sio kibao hawazidi kumi pia ukumbuke utofauti wa programs
kibao
Unapata ila kama unamiaka 30 kuendelea haupatiEti Diploma wanapata mkopo au kulipiwa chochote na serikali?!
Uclas , wamechukua watu 4 tu waliomaliza diploma ya Ardhi nadhan kuna tatizo, pia cdhan kama mtu una re apply wakati hujajua ukikosea wapi hadi hukuchaguliwa before.Napenda tukutane wote wenye qualifications za diploma waliomba vyuo mbalimbali mwaka huu 2017/2018 na either wamechaguliwa au laa pia kama yupo aliyechaguliwa kwa awamu ya kwanza atujuze pia nimelenga vyuo kama ARDHI pia UDOM kwani nahisi kunatatizo, naomba kuwasilisha!!