mkuu hatuwezi kuepuka kuzifatilia maana unaweza kupata hbr ukiwa popote kikubwa una mb,
Hata hili linahitaji darasa! Habari za Janjajanja utaziona tu hata kwenye uandishi wa kichwa cha habari.Online TV nyingi zao zinamilikiwa na 'mishen town' hawana taaluma yoyote ya kuhabarisha, na wala hawabanwi na sheria.
Hivyo unapoenda na kufungua ni kwa hasara yako mwenyewe 'at your own risk'...ndio maana wanatumia mbinu inaitwa 'click bait'...yaani unadanganywa ili uingie ili hali hakuna chochote cha maana.
Umemaliza, wengi wamiliki wa Online TV hawajitambui, wao wanachotaka ni viewers tu, bila kujali ubora wa content.Kuendelea kufuatilia online Tv wewe ndiye tatizo sio wao.
Mtanzania ni mtu wa kutaka aishi kwa ujanjaujanja sana na ukishagundua hilo nawe unatumia ujanjaujanja kumkwepa.Umemaliza, wengi wamiliki wa Online TV hawajitambui, wao wanachotaka ni viewers tu, bila kujali ubora wa content.
Wajalibu kuwaiga wenzetu wa nchi zilizo endelea, Ukitazama vidio moja, unajikuta unafungua nyingine na nyingine kwa ubora wa content walioweka.
Mfano hai ni hii channel: Biography
Ukiangalia video moja unajikuta unapa hali ya kuangalia nyingine na nyingine tena
Mhhh... ! Kwahio hata wakiandika Rais apata ajali mbaya halafu wakaweka video ya mtu anayeitwa raisi wa wambea aliyepata ajali huko Nanjilinji ni sawa?Online TV nyingi zao zinamilikiwa na 'mishen town' hawana taaluma yoyote ya kuhabarisha, na wala hawabanwi na sheria.
Hivyo unapoenda na kufungua ni kwa hasara yako mwenyewe 'at your own risk'...ndio maana wanatumia mbinu inaitwa 'click bait'...yaani unadanganywa ili uingie ili hali hakuna chochote cha maana.
Kabisa, sasa si kila Mtu anaweza kuwa na You tube channel.Mhhh... ! Kwahio hata wakiandika Rais apata ajali mbaya halafu wakaweka video ya mtu anayeitwa raisi wa wambea aliyepata ajali huko Nanjilinji ni sawa?
Na tatizo la click bait ni kwamba unaweza kuwa na views milioni moja lakini walio angalia video yako kuanzia mwanzo mpaka mwisho hawazidi kumi.Kuna kitu kinaitwa 'Click bait'.. Hcho ndo wanachokitumia.. Wanaweka picha ya bonge la samaki au picha fulani au heading fulani ambayo itakufanya uclick.. Shida yao ni views
Tazama za millard tu ndio wanajielewaWalianza vizuri sana lakini sasahiv wamekuwa kama magazet ya udaku ama ya habari za michezo. Ambapo utakuta heading ni tofauti na kilichpo ndani.online TV nyingi sana sasahivi na wanaandika heading za kuvutia ukifungua utajuta kutumia MB zako, kilichopo juu haikiendani kabisa na maelezo ya ndani.
Tena sasahivi wameona suala la MO ndo chambo cha kunasa watumiaji wa mitandao, ndo maana wakati mwingine unaona umhimu wa TCRA kuwataka wote wasajiliwe maana kila mtu anaona anaweza kuwa na online tv.
Mnatuboa sana wazee wa online tv.