Mo graphics 2019 JF-Expert Member Joined Oct 14, 2019 Posts 1,002 Reaction score 1,496 Oct 28, 2021 #1 Hello! Heshima kwenu. Kwa wajuvi katika sector ya usafilishaji wa anga(airline). Naomba muongozo wa taratibu za kuwa travel agency wa kampuni za ndege. Kama uko na A.B.C juuu ya hiri swala naomba utoe mchango wako hapa kwa faida ya watu wote. Karibu.
Hello! Heshima kwenu. Kwa wajuvi katika sector ya usafilishaji wa anga(airline). Naomba muongozo wa taratibu za kuwa travel agency wa kampuni za ndege. Kama uko na A.B.C juuu ya hiri swala naomba utoe mchango wako hapa kwa faida ya watu wote. Karibu.