Online Registration System (ORES)

Online Registration System (ORES)

Zedikaya

Senior Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
119
Reaction score
14
Nimejaribu kufanya online registration kama Private Candidate,
nikawa nimefikia hatua ya ku-upload Photo nikaona wametoa warning kuwa photo isizidi Kb 30,
nifanyeje hali passport size yangu ni MB 2:
natanguliza shaukrani
 
.
Kwa njia rahisi
.
Upload facebook kisha i download tena itapungua ukubwa...
.
Hata gmail google drive ukiweza
ila anza na facebook
.
Mana photoshop sizani kama unayo...
 
.
Kwa njia rahisi
.
Upload facebook kisha i download tena itapungua ukubwa...
.
Hata gmail google drive ukiweza
ila anza na facebook
.
Mana photoshop sizani kama unayo...

ahsante mkuu ngoja nijaribu
 
Back
Top Bottom