Online registration status ya mpiga kura | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Online registration status ya mpiga kura

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lyangalo, Oct 20, 2010.

 1. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Ukitaka kuangalia status zako za kupiga kura ingia katika website ya NEC ambapo utaweka nambari yako ya kupiga kura kwenye Registration Status na kuweza kupata online status ya wapi kituo changu kinapatikana through email. Hapa utapata au utaweza kujua kama kituo ulichopangiwa ni sahihi au la. Napendekeza sote tutizame status zetu ili kuepukana na disappointments za dakika za mwisho. Hii itazidi kutupa uhakika wa kupiga kura zetu sahihi siku hiyo ya tarehe 31 Oct 2010.
  Link ya kufuata ni hii…
  http://www.nec.go.tz/?modules=gallery&sub
   
 2. hope 2

  hope 2 Senior Member

  #2
  Oct 20, 2010
  Joined: Apr 28, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante Mkuu, ngoja tucheki
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,764
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  poa mkuu
   
 4. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #4
  Oct 20, 2010
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Asante Mkuu, japo nimekuta kila kitu kiko sawa lakini siku ya kupiga kura unaweza fika kituoni na jina usilione.
   
 5. M

  Mp Kalix2 JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 5,220
  Likes Received: 1,152
  Trophy Points: 280
  Ni na mashaka makubwa na mfumo huo.Kama kunatetesi kuwa kuna vijana wa IT wanaopanga njama ya kuchakachua kura ,kusamba sms ya uzushi n.k watashindwaje kutumia information itakayopatika kwa njia mtandao ya watu kucheki Registration status zao.
  Hili la kucheki Registration status hali na umuhimu sana.
  NEC ilifakutuwekea idadi ya wapiga kura wote kimajimbo kwenye website yake na kwenye magazeti ili kuonyesha wamedhamiria kuwa wako huru na kutenda haki kwa vyama vyote vinavyoshiriki Uchaguzi 31/10/2010
  Use common sense on 31/10/2010,do not vote for criminals,mafisadi's and Blah Blah's.
   
 6. M

  Munghiki Senior Member

  #6
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 153
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kweli 2naenda na teknolojia but hawa jamaa zetu chi chi m ni hatari ucsahau IT strategy zao zinazoongozwa na kikwete jr.
   
 7. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hata mimi nimeona .
   
 8. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  watumieni na rafiki, ndugu na jamaaa
   
 9. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,399
  Likes Received: 3,726
  Trophy Points: 280
  Mi nimecheki lakini jina langu limepunguzwa herufi mbili za kwanza za first name na kule kwenye sir name wameondoa herufi ya nne toka kushoto hata sijui pa kuanzia
   
 10. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hii ni nzuri tutafuatilia tulikoficha kadi za kupigia kura ili kujikumbusha namba kabla ya siku.
   
Loading...