Habari zenu wanajamvi, naomba msaada kwa walio na uzoefu wa kufanya manunuzi online kama Alibaba, Ebey na Amazon.
Hasa Alibaba maana kuna kitu nataka kuagiza ila sijajua mchakato wake unakuwaje.