Mikael Aweda
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 3,129
- 4,285
Wazo hili ni zuri sana. Lilishajadiliwa nakumbuka kwenye vikao vya baraza kuu. Tatizo lake ni kwamba, CCM walihujuma the whole Plan. Lengo ilikuwa ni watu kujiunga na chadema kwa njia ya meseji ya simu na kuituma kwenye one center number.
Njia hii pamoja na ile ya kuichangia chadema kwa njia za simu zinahujumiwa sana na CCM. That is a challenge.
However, Mimi si mtu wa IT kwa hiyo sijui kuhusu njia hii mpya kama inaweza kuhimili hujuma za CCM.
.Hahahahahahahaaaaaaaaaha, tutajiandikisha kwa wingi sana mpaka hesabu ziwe zaidi ya wananchi wa TZ, siku ya kura mnajiuliza, ilikuwaje? tunawachama millioni 50 lakini waliotupigia kura elfu 50.Mkianzisha mimi wa kwanza kujiandikisha mara x1,000,000
.Hivi kuingia cdm kwa fedha? khaaa, unanshangaza, wakuu huko kodi hawalipi halafu fedha yetu tunayoilipia kodi tuingilie uanachama? ama kweli mkuu pale ni mchaga wa nguvu.
. Wana Cdm kama mwangalizo haya magamba tukiwa 2naongelea mambo yenye maslahi ya chama 2we tunayapuuza tu bila kuya reply,niliona post kule kwenye complaints kua huwa yanalipwa buku mbili kwa siku na Magamba original ili yakikuta mada kama hizi za maslahi ya CDM yazivuruge tuyadiscuss yenyewe badala ya mada husika mwisho post inakosa mvuto inapotezewa! Kuhusu idea it's the best! Ila CDM wana web yao sema haiko updated mara kwa mara,wafanye modification 2 afu watupie public,JF iwe ya kwanza kupata taarifa though,and we will all spread the good newz to all. ALUTA CONTINUA!Kwetu kijijini hawana net. Hawajui net. Mtaengeza huko huko arusha na moshi
Dah sema kidude cha thanx kimechakachuliwa 2,hata lyk inatoshahiyo imepita bila kupigwa na kufungua matawi ya watanzania wanaoishi nje ya nchi..BRAVO CHADEMA
Hahahahahahahaaaaaaaaaha, tutajiandikisha kwa wingi sana mpaka hesabu ziwe zaidi ya wananchi wa TZ, siku ya kura mnajiuliza, ilikuwaje? tunawachama millioni 50 lakini waliotupigia kura elfu 50.
Mkianzisha mimi wa kwanza kujiandikisha mara x1,000,000
Yes, they can have a SHAREPOINTsite where CDM registered members log into get information and other activities as you highlighted.Hii kitu muhimu,nadhani chama kiwe na idara ya ICT ili kuplan strategy mbalimbali online ikiwemo hiyo registration,matangazo,fund raisings na campaign
Hii njia haifai kabisa, kadi ziko njenje tu, kama mtu hataki abaki kuwa mshabiki. Aibu sana kama unaipenda CDM halafu unaona aibu na uvivu kufuta kadi, nadhani hata kura utaona aibu kupiga.Wazo hili ni zuri sana. Lilishajadiliwa nakumbuka kwenye vikao vya baraza kuu. Tatizo lake ni kwamba, CCM walihujuma the whole Plan. Lengo ilikuwa ni watu kujiunga na chadema kwa njia ya meseji ya simu na kuituma kwenye one center number.
Njia hii pamoja na ile ya kuichangia chadema kwa njia za simu zinahujumiwa sana na CCM. That is a challenge.
However, Mimi si mtu wa IT kwa hiyo sijui kuhusu njia hii mpya kama inaweza kuhimili hujuma za CCM.
technology inabadilika mkuu, hata kama utakataa njia hii leo lakini utaikuta mbele ya safari, kuna vitu kama e-commerce havikwepeki, techonogy is moving very fast, kuna siku utafanya shopping ukiwa nyumbani kwako, unalipa online na vitu vinaletwa baada ya muda. kuna siku hutatumia cash kufanya transaction yoyote hili limeanza na linakuja kwa kasi ya ajabu.Hii njia haifai kabisa, kadi ziko njenje tu, kama mtu hataki abaki kuwa mshabiki. Aibu sana kama unaipenda CDM halafu unaona aibu na uvivu kufuta kadi, nadhani hata kura utaona aibu kupiga.