hellow guys,, i need your views , hivi kuna mtu yeyote mwenye habari na hii application inaitwa perfect app na ikamlipa ,,, link yake hii hapa The Perfect App.
Hivi jamani ina maana hamuwezi kabisa kutumia akili mlizonazo kung'amua njama za utapeli kama hizi? Au ni njaaa? Hivi pesa inavyotafutwa wewe unasubiri mtu aje akupe ukiwa umekaa?