teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Wadau naomba kujua namna ya kutengeneza google forms ambazo unaweza kumtumia mtu link akajaza kisha akakutumia.
Bado sijapata ufumbuzi kwa hili msaada unahitajika.
Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
Bado sijapata ufumbuzi kwa hili msaada unahitajika.
Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk