Wernery G Kapinga JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 381 Reaction score 131 Apr 22, 2021 #1 Habari wadau. Kama Kuna yeyote mwenye platform ambayo shule inaweza kutumia kwa kutuma mitihani online kwa wanafunzi wake kipindi Cha likizo, tafadhali anijuze. Cha msingi sana, Mwanafunzi awe na uwezo wa kufanyia kwenye simu, iwe smartphone au buttons Iwe na uwezo wa mwalimu kuandika mtihani wa wanafunzi kufanya online kwa kadiri ya darasa Ahsante. 0657605875
Habari wadau. Kama Kuna yeyote mwenye platform ambayo shule inaweza kutumia kwa kutuma mitihani online kwa wanafunzi wake kipindi Cha likizo, tafadhali anijuze. Cha msingi sana, Mwanafunzi awe na uwezo wa kufanyia kwenye simu, iwe smartphone au buttons Iwe na uwezo wa mwalimu kuandika mtihani wa wanafunzi kufanya online kwa kadiri ya darasa Ahsante. 0657605875