Ila kabla hatujaingia kwa umbo LA past participle ( timilifu) tuangalie kidogo maneno yanayotolewa herufi 'y' mwishoni na kuwekwa 'i' kisha 'ed'
Mifano;
Cry lazima utoe 'y' iwe cried na sio cryed ila play hutoi 'y' mbali unaongeza 'ed' moja kwa moja.
Tunatambuaje kuwa hapa toa 'y' na pengine usitoe??
Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk