Online dating

ha haahahaha kakaaa wewe jana ilikuaje?
 
Duh hako kapicha ka chini kama vile alichungulia kwenye furnace la coal kule kiwira
 
Nashukuru Mungu Dada yangu Kipenzi CL ( miss chagga ) siku yangu ya jana ilienda vizuri tu na nawashukuruni nyote mlionitakia salamu zenu na mbarikiwe mno. Nawapenda kunakotukuka!
na ule mzigo ulipiga ?
 
wew mwenyew ni mzuri lakini?
 
na ule mzigo ulipiga ?

Bahati mbaya nilikuta zile ' mvua ' zenu za lazima za kila mwezi zimeanza kunyesha hivyo nasubiri kama siku 3 au 5 zijazo ziishe kusudi niweze sasa kupanda mazao ambayo natarajia kuyavuna baada ya miezi 9 ijayo.
 
kama zimeanza esabu wiki mbili halafu kapande dadeki labda liwe weak ...
 
Hivi Mwanaume anatakiwa kuwa mzuri? Wewe wa wapi? Mwanaume anatakiwa kuwa na Sura ya Kazi na mzuri wa kutafuta na kutumia Pesa. Sura hata Mbuzi anayo Mkuu!
kwaiyo na wew ulikuwa na hela , point yangu acha kukashifu watu ni wabaya wew mwenyew isikute una sura kama kiatu hapo hujaona wenye pesa zao mademu zao wanabebwa for free
 
kwaiyo na wew ulikuwa na hela , point yangu acha kukashifu watu ni wabaya wew mwenyew isikute una sura kama kiatu hapo hujaona wenye pesa zao mademu zao wanabebwa for free

Kabla ya yote naomba nikuulize tu kuwa je umeshajipanga kwa vita ya maneno ya shombo na Mimi? Nasubiri jibu kwani naona unajaa mwenyewe katika ' frame ' halafu na Mimi sera yangu humu siku zote imekuwa ni ile ile kuwa Wewe ' ukijamba ' Mimi ' nakunya ' kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…