Online dating ni shida

pole vip yamekukuta? kakwambia yeye natural beauty afu ukakuta mchina kashafanya yake?
 
kaka yako alifia ulaya kwa penpal? kumbe nchi hiiutegemezi kwa wazungu umeanza zamani sana..
 
na hii haiitwi blind dating !!
 
Ni kama na wewe umewahi kuweka bandiko la kutafuta mchumba humu au ulikuwa unatania?

Duhh mahondaw hii ina maana , Yeyote anayeweka bango anafaham ubora wake na anafaham udhaifu wake wa kiafya.
 
Last edited by a moderator:
Blind dating..mi nakulaga wake za watu tu....kuna mmoja yupo mexico.... Sina pesa tu namdanganyaga nipo US.
 
tatizo liko kwa wahusika. mara nyingi watu hawako wawazi na kwa jamii ya kiafrica watu wengi hatuna mapenzi ya kweli. tunachokitoa mdomoni ni tofauti na kilichopo moyoni
 
Unaelewa ulichokiandika kweli? Au unawala kwa keyboard?

Kama hujaelewa Basi we mlembe inakuhusu.....unawala kwa keyboard ndio lugha gani hiyo...mie sio wa huko mjomba...ha ha ha
 
Kama hujaelewa Basi we mlembe inakuhusu.....unawala kwa keyboard ndio lugha gani hiyo...mie sio wa huko mjomba...ha ha ha

Bangi imepigwa marufuku karibu dunia nzima, usidhani dunia nzima hawana akili kupiga marufuku bangi.

Wataalam wanasema vichaa wote huwa wanaona watu wenye akili timamu ndio vichaa.
 
tatizo liko kwa wahusika. mara nyingi watu hawako wawazi na kwa jamii ya kiafrica watu wengi hatuna mapenzi ya kweli. tunachokitoa mdomoni ni tofauti na kilichopo moyoni

True 100% wanachokitoa mdomoni ni siyo Sawa na uhalisia mahondaw
 
Last edited by a moderator:
mi sioni tatizo la online dating wala offline dating, zote zinawork just fine.. Ukiona haziko sawa upande wako au unakutana na watu wa ajabu jua theres something wrong unafanya.... I have met very fine people online, infact the girl ambaye we had the best relationship tulikutana online...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…