Online dating ni shida


Mange kimambi ameshawatumia Link mashabiki wake.

Miaka ya nyuma kulikuwa na site moja inaitwa www.friendfinders.com sijuhi kama inaexist nayo ni ya kulipia imeconnect watu wengi sana hasa Marekani.
 
Last edited by a moderator:
Yaani imekuwa shida kila kitu shaghalabaghala, ni kwa neema tu
 
Dating online is the idea that true love finds itself, and support anyone who prefers traditional methods of meeting people. However, the world is a very large place and the chance of encountering our soul mate in ur day to day life is small, especially if you are busy or overly shy. This is where dating online can be a great tool;

Online dating provides a unique opportunity to get to know the person behind the face. Since your only exposure to outward appearances is a profile picture, you get to know the person for who they truly are. This can take away the shallow decision-making effects of physical attraction and allow your heart an unbiased opportunity to fall in love.
 


Umeongea point wewe
 
Mahusiano yote yanachangamoto zake yawe ya kwenye mtandao au ya ana kwa ana. Cha kushukuru ni pale utakapota mwenza mtakaoendana hata kama siyo kwa asilimia zote lakini angalau.
 
Ni ukweli mtupu kiongozi, bt kitakacho kuongoza apo ni msimamo wako tu.
 

Why online / blind as long as kuna warembo kibao wamekuzunguka kila mahali?? Ndio mkome tongoza tongoza watu msiowajua wala kuwaona
 
It shows how much mtoa mada is addicted to online / blind date na wanawake hata mada zake nyingi ni dating wanawake dating wanawake dating wanawake mweh!
 
Why online / blind as long as kuna warembo kibao wamekuzunguka kila mahali?? Ndio mkome tongoza tongoza watu msiowajua wala kuwaona

True, watu wanaotongoza online watatongoza mpk vilema wa mapenzi. Maana watu wengine ni wazima ukiwaona usoni tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…