Online dating ni kwa ajili ya wenye muonekano mzuri na stylish life.

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,475
Reaction score
3,538
Kama wewe sio photogenic, basi utulie na udili na wamtaani tu.
Kuna watu hata wavae vipi, wakipiga picha unaona kabisa huyu ni mlugaluga.

Ukimfata mrembo online cha kwanza anakuomba umtumie picha akuone, anataka ajue, je unaonekaje? Unasura personal au unavutia? akiona unasura personal, anahamia kwenye life style, km ndio huna maajabu hadi huko, bas ushapoteza pambano.

Kama we unasura personal, bas ni vyema ukadeal na walio mtaani, huku mtandaoni tuachie sisi. Mimi mambo ya kutongoza nishaacha mana wananitongoza mimi.

Know yourself.
 
🚮
IMG-20250823-WA0002.jpg
 
Ila mawakala wa TIGO PESA..... mkiwa mnatangaza kuwa mnatoa tigo ...... asee mna mbwembwe .....haya kijana unapatikana wapi nahitaji huo mtandao wako ni deal nao kidogo kuna line nataka nichomeke ....
 
Tuma uso wako tuuone.....
Kama wewe sio photogenic, basi utulie na udili na wamtaani tu.
Kuna watu hata wavae vipi, wakipiga picha unaona kabisa huyu ni mlugaluga.

Ukimfata mrembo online cha kwanza anakuomba umtumie picha akuone, anataka ajue, je unaonekaje? Unasura personal au unavutia? akiona unasura personal, anahamia kwenye life style, km ndio huna maajabu hadi huko, bas ushapoteza pambano.

Kama we unasura personal, bas ni vyema ukadeal na walio mtaani, huku mtandaoni tuachie sisi. Mimi mambo ya kutongoza nishaacha mana wananitongoza mimi.

Know yourself.
 
Kama wewe sio photogenic, basi utulie na udili na wamtaani tu.
Kuna watu hata wavae vipi, wakipiga picha unaona kabisa huyu ni mlugaluga.

Ukimfata mrembo online cha kwanza anakuomba umtumie picha akuone, anataka ajue, je unaonekaje? Unasura personal au unavutia? akiona unasura personal, anahamia kwenye life style, km ndio huna maajabu hadi huko, bas ushapoteza pambano.

Kama we unasura personal, bas ni vyema ukadeal na walio mtaani, huku mtandaoni tuachie sisi. Mimi mambo ya kutongoza nishaacha mana wananitongoza mimi.

Know yourself.
Mrembo wa jf!
 
Hata wenzako wanaoandika Ant mbele ya majina yao walianza hivyo hivyo kujiona wako vizuri mwishoooni wameshikwaa
 
Kama wewe sio photogenic, basi utulie na udili na wamtaani tu.
Kuna watu hata wavae vipi, wakipiga picha unaona kabisa huyu ni mlugaluga.

Ukimfata mrembo online cha kwanza anakuomba umtumie picha akuone, anataka ajue, je unaonekaje? Unasura personal au unavutia? akiona unasura personal, anahamia kwenye life style, km ndio huna maajabu hadi huko, bas ushapoteza pambano.

Kama we unasura personal, bas ni vyema ukadeal na walio mtaani, huku mtandaoni tuachie sisi. Mimi mambo ya kutongoza nishaacha mana wananitongoza mimi.

Know yourself.
Umeanza vizuri ila mwishoni umeandika pumba tupu.
 
Back
Top Bottom