Idris Sultan naye nimchekeshaji naulizia tuuu?Aisee kwa sasa kuna online comedy nyingi hapa bongo, zingine miyeyusho ila zingine wanajitahd..kwa mtazamo wangu zifuatazo ndo bora kabisa kukuondolea stress ya maisha Magumu
1.Joti
2.Oka-Martin
3.Anko zumo &Mai zumo
3.Mr Beneficial & Bwana Mjeshi
4.Jay mond
5.Babu K
6.Claim tz
7.Ebitoke
8.
9.
10.
Kupitia hzi comedy sku yangu huwa inaenda mbashara sana
Sababu kaachana na Ben Pol ndo mana mzuka umepoteaHalafu sijui kwanini sina mzuka na Ebitoke
kuna yule mc pilipili sijawahi kumwelewa,,,,et ni mchekeshaji cha ajab yy ndo huwaga anacheka badala ya sisi wachekeshwaji kucheka,nadhani yule hujichekesha mwenyewe
Hapana hajui chochote huyo labda mikasi na kina wema hukoIdrissa Sultani
Aisee kwa sasa kuna online comedy nyingi hapa bongo, zingine miyeyusho ila zingine wanajitahd..kwa mtazamo wangu zifuatazo ndo bora kabisa kukuondolea stress ya maisha Magumu
1.Joti
2.Oka-Martin
3.Anko zumo &Mai zumo
3.Mr Beneficial & Bwana Mjeshi
4.Jay mond
5.Babu K
6.Claim tz
7.Ebitoke
8.
9.
10.
Kupitia hzi comedy sku yangu huwa inaenda mbashara sana
Jamaa uwa ananikelaaaa ila sichokiii kumuangaliaaa na nimeturn on notification zake ...Unaanzaje kumuacha king mwalubadu kupe kupe bibamba. Au uko upinzani nini mkuu?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ebitoke hata akinitekenya siwezi kuchekaHalafu sijui kwanini sina mzuka na Ebitoke
Hao wakiamua kufanya yao tena hakuna wa kuwafikia3. Wanaitwa JAMBO NA VIJAMBO sema Saivi Wamepotea Ila nawaona Azam Kule Wanaingiza Saut Kwa Kiswahil Kweny Tamthiliya na Muvii
Kweli Wako Vizur SaanaHao wakiamua kufanya yao tena hakuna wa kuwafikia
Oh, kumbe wako Azam wanafanya yao upande wa sauti?3. Wanaitwa JAMBO NA VIJAMBO sema Saivi Wamepotea Ila nawaona Azam Kule Wanaingiza Saut Kwa Kiswahil Kweny Tamthiliya na Muvii