Habari wana JF .
Naombeni mawazo yenu . Nimeplan kutengeneza system ambayo itasaidia kupunguza matatizo wanayokumbana nayo wagonjwa mahispital. Mfano kusubir huduma bila mafanikio na kushindwa kuona record zao. Ningependa kujua matatizo mengine wanao yapata ambayo naweza solve kwa system