jamii01 JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 1,988 Reaction score 1,437 Jan 25, 2011 #1 Toka juzi niliona JF imeanzisha sehemu ya kuchart na marafiki..lakini sijaona sehemu ambayo naweza kuchart na marafiki..kama kuna mtu ambaye anatumia huduma hii naomba mnielekeze..natumia ..monzilla firefox na internet explorer.
Toka juzi niliona JF imeanzisha sehemu ya kuchart na marafiki..lakini sijaona sehemu ambayo naweza kuchart na marafiki..kama kuna mtu ambaye anatumia huduma hii naomba mnielekeze..natumia ..monzilla firefox na internet explorer.
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,484 Jan 25, 2011 #2 JeiEff haijawahi kua na sehemu ya kuchart!Ila sehemu ya kuchat wanafanya hima kutuwekea!