Ongezeko nadhani ni kusogeza huduma zaidi kwa wananchi, mahitaji ni makubwa yanayopelekea ongezekoHivi karibuni kumekua na ongezeko la vituo vya DIALYSIS hususani miji mikubwa nchini. Mfano Dar es Salaam, Arusha, Mwanza na Dodoma. Hii maana yake nn? Wizara stukeni.
NB: Dialysis center vinachuana na Petrol/fuel stations Kwa idadi
WellKama ni kweli maana mimi sijafuatilia, cha msingi ni huduma bora lakini pia inaweza kuwa alert kwa serikali kuwa magonjwa ya siyoambukiza kama figo yanazidi kuongezeka kwa kasi. Hivyo hatya zichukuliwe mapema
Hivi karibuni kumekua na ongezeko la vituo vya DIALYSIS hususani miji mikubwa nchini. Mfano Dar es Salaam, Arusha, Mwanza na Dodoma. Hii maana yake nn? Wizara stukeni.
NB: Dialysis center vinachuana na Petrol/fuel stations Kwa idadi
Uke kwa lipi? WaTanzania ni watu wa kulalamika tu aiseeHivi karibuni kumekua na ongezeko la vituo vya DIALYSIS hususani miji mikubwa nchini. Mfano Dar es Salaam, Arusha, Mwanza na Dodoma. Hii maana yake nn? Wizara stukeni.
NB: Dialysis center vinachuana na Petrol/fuel stations Kwa idadi
PrivatePrivate au Public?
Ongezeko nadhani ni kusogeza huduma zaidi kwa wananchi, mahitaji ni makubwa yanayopelekea ongezeko
Zamani ilibidi uache Kila kitu uje kupigania uhai Dar es salaam TANZANIA 🇹🇿Ongezeko nadhani ni kusogeza huduma zaidi kwa wananchi, mahitaji ni makubwa yanayopelekea ongezeko
Hii inaenda sambamba na matumizi ya dawa. Uuzaji wa dawa kama biashara tena inayolipa ni changamoto. Siku zote mfanyabiashara anataka auze zaidi kupata faida kubwa.Muwe makini na biashara ktk tiba. Madaktari waliopo hospitali za umma ndiyo hao hao wanaofanya kazi kama part-time huko kwenye hospitali binafsi ama hivyo vituo vya dialysis.
Unaweza kuwa kwenye stage ambayo inaweza kushughulikiwa kwa kupewa dawa lkn ukaambiwa kafanye dialysis ili tu wapate kazi ya kufanya huko kwenye vituo.
Wakati kiuhalisia dialysis ni last resort.
Huko nyuma kulizuka mtindo wa kila mgonjwa akienda hospitali binafsi anaandikiwa akapimwe typhoid .Dak 5 unaletewa majibu kuwa una typhoid. Wakati vipimo vya typhoid vinahitaji kifanyiwa culturing. Kumbe ilikuwa ni biashara.
Sasa hivi kuna wimbi la biashara kwenye UTI.
Nchi Ina laana hii.