Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 381
Unamaanisha unakuta anaumbo kama TANGAWIZI au?Wadau unakuta mmama anakitambi na kavaa jinsi inambana na juu blauz yaaan mvuto F kabisa
Anaweza akawa ameona mimba kweli!!!mimi mpaka leo nashindwa kutofautisha Mimba au kitambi nikiwaona wanawake wa sampuli hiyo unaowasema
mmmh labda...mimi labda mimba ikiwa kubwa ya miezi mi5 na kuendelea ndio nitaona ni mimba kweli..ila ikiwa na mwezi m1 nashindwa kutofautisha na kitambi kabisa yaaniAnaweza akawa ameona mimba kweli!!!
Mikunjo ya matumboni ni kukunjwa na mijibwana kibao..!We umeona mimba changa unasema vitambi, wadada tupo slim hvo
[emoji23][emoji23]Wadau unakuta mmama anakitambi na kavaa jinsi inambana na juu blauz yaaan mvuto F kabisa