Ongezeko la wadada wanaotoboa pua

Mkuu mpe namba yangu ya simu
 
Mdada akiwa kaweka kipini,kama sikua na mpango wa kumtongoza,namtongoza tu ila siyo kumuoa.
 
Unatokea wapi mkuu?? Mbona hiyo kutoboa pua ni oldy fashion ambayo ni kama inarudi tu kipindi hiki, miaka ya nyuma huku ukanda wetu wa pwani ilikuwa ni urembo wa kawaida kutoboa pua, bibi yangu amefariki (RIP) na uzee wake na kipini chake cha pua 😅, hamna kipya.
 
Wengi ni wachafu wanatoa harufu mbaya ukeni.
Sivutiwi na vipini,kope,kunyoa nyusi na mawigi
 
Wapo Ila cwez kuwachakata wa hvyo
hata mi naonaga kama watu flani wanaochakatwa sana so hawakosi moto yani siku ya kuchakata wa hivyo hayo mawazo ya kupata ngoma sijui yataishaje
 
Yaani we jamaa siku ukikutana na alietoboa kicmi nahisi utashindwa hata kutomber kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…