Picha?Wakuu hili inanishangaza San kumekuwepo na ongezeko kubwa kwa wadada pisi Kali kutoboa pua na masikio p matobo mengi.hata Kama mnapendeza ila mm gorogo nitakuchakata tu na kukuacha mnk inasemekana kuwa nyinyi mnaotoboa pua Ni wanawake fln wahuni HV au malimbukeni
Kwanini wanafanya hvyo katk maisha yangu sijapata kuona mwanamke ameolewa akiwa ametoboa pua sijapata kukutana nao wengi Ni masikio na unakuta katoga moja kwa hereni moja tu
Haya tuambieni Kuna Siri gani kutoboa pua hamuoni kuwa mnaonekana watu wa ajabu ajabu kwa mambo ya ovyo ovyo
Uwez mkuta mwanamke smart alfu anatoboa pua au umkute daktar au hr wa kampuni au taasisi kubwa katoboa pua huwezi
Nawapa taadhari ondoeni vipini vyenu haraka sna
Nimeshuka ktk daladal Happ kibo tegeta Hapa nimekah siti moja na pisi Kali mno mtot mashalaah namba nimepata ila kikwazo katoboa pua kaniuz kweli ila furesh nitawapa mrejesho kule kimasiara
Hivi Bosi hujarudi masasi tu?Njoo kusini Huku wamwera,wamaraba wa masasi na wamakonde utaona mpk wengine tuko nao maofisini NI kawaida Sana..labda huko kwenu ndo ajabu btw me mwenyewe sipendi mke Wangu atoboe pua
SimonAdebisi yuko wapi Mwanao Wrangler,umenikumbusha Series ya OZWananipaga stimu sana
Mkuu kweli kabisa wanakosa hata heshima maana Kuna mwanangu tuliachana miaka kadhaa iliyopita Sasa siku moja tukaonana town akaniambia kj75 twende ukamsalimie shemeji yako halaf nikusindikize uwende.Wakuu hili inanishangaza Sana kumekuwepo na ongezeko kubwa kwa wadada pisi kali kutoboa pua na masikio matobo mengi. Hata Kama mnapendeza ila mimi gorogo nitakuchakata tu na kukuacha manake inasemekana kuwa nyinyi mnaotoboa pua ni wanawake fulani wahuni hivi au malimbukeni
Kwanini wanafanya hvyo katika maisha yangu sijapata kuona mwanamke ameolewa akiwa ametoboa pua sijapata kukutana nao wengi ni masikio na unakuta katoga moja kwa hereni moja tu
Haya tuambieni kuna siri gani kutoboa pua hamuoni kuwa mnaonekana watu wa ajabu ajabu kwa mambo ya ovyo ovyo
Huwezi mkuta mwanamke smart halafu anatoboa pua au umkute daktari au Hr wa kampuni au taasisi kubwa katoboa pua huwezi
Nawapa tahadhari ondoeni vipini vyenu haraka sana.
Nimeshuka ktk daladala Hapo Kibo Tegeta hapa nimekaa siti moja na pisi kali mno mtoto mashalaah namba nimepata ila kikwazo katoboa pua kaniudhi kweli ila fresh nitawapa mrejesho kule kimasiara
Watu wa huko wa mechi za hatari sana ukienda hujao huko hutoki bila mke aiseeNjoo kusini Huku wamwera,wamaraba wa masasi na wamakonde utaona mpk wengine tuko nao maofisini NI kawaida Sana..labda huko kwenu ndo ajabu btw me mwenyewe sipendi mke Wangu atoboe pua
Balah Sana babu cwezi kukupeleka kwa mzazi wangu huku umetoboa pua na masikio Mara tatu Zaid na Bado umejichora tatu ziIofutika nitakugonga tu alfu nakuachia wengine waje au nakupelekea usingle mama kbsaMkuu kweli kabisa wanakosa hata heshima maana Kuna mwanangu tuliachana miaka kadhaa iliyopita Sasa siku moja tukaonana town akaniambia kj75 twende ukamsalimie shemeji yako halaf nikusindikize uwende.
Nikasema Poah twende zao kufika kwa shemela duuuuuuh ametoboa masikio Kama Mara Tatu Na kaweka heleni puani njoo kucheki miguuni amevaa vikuku , kanyoa kiduku duuuuuuh Mimi Na wale watu Ni vitu viwili tofauti kwanza huwa nahisi Ni Malaya Sana maharage maji Mara moja.