Ongezeko la vijana kula ugoro

Haya mambo ni huko mikoani, sisi huku tuko busy tunajenga viwanda.
 
Kuna mzee nilikaa nae akawa analalamika kwamba sasa ivi ugoro haushikiki umepanda sana bei baada ya soko lake kuingiliwa na vijana. Akasema wazee kwa sasa hawamudu tena kununua kiburudisho hicho.
Umepanda bei sana wamasai nao wameongezeka mjini
 
Kweli kabisa na unachangia mdomo kunuka na meno ya mbele kubadilika rangi
Unakuwa unatema tema mimate na ukiutoa ni kama vikimba vya bata mzinga, ugoro sio poa unapunguza urijari
 
Huu utafiti ni kwa hisani ya watu wa wapi
Inasemekana Wanaume wa dar wao wanatumia ugoro kipindi tigo zao zikitaka kupigishwa chafya aisee.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wanaida dawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahha umenikumbusha mbali sana kuhusu suala la ugoro

Enzi niko form two nikiwa njuka kabisa nilikuwa na mshkaji wangu yuko form three enzi izo nasikia tu ugoro ila sijawahi kuuona

Basi bwana jamaa akaniambia embu chukua onja nikakataa akaniambia basi jaribu weka puani hahahaha nikakubali

Hahahaha daaah nilipata tabu sana kama nataka kupiga chafya ila stimu inakata

Tangu siku ile nikawa nasikia ugoro tu ila sitaki ata chembe
 
Pole sana mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…